https://x.com/lifeofmshaba/status/1840444113025400944?t=HQa05gIZAhN0Xht5BZzddQ&s=09
Tamasha la mziki la Wasafi Festival lililoandaliwa kwa gharama kubwa limeingia dosari mkoani Mbeya baada ya nsanii wake Zuchu kurushiwa chupa za maji stejini pale alipoanza tu kutumbuiza hali iliyomfanya...
Inasemekana, magereza ya Tanzania ni tofauti sana na ya Ulaya na nchi zingine "zilizostaarabika". Mfungwa wa Ulaya hukoseshwa uhuru tu wakati wa Tanzania hunyimwa karibia kila kitu: uhuru na mahitaji mengine muhimu ya kumwezesha kuishi kama binadamu wa kawaida.
Inasekana, magereza ya Tanzania...
Kumchukia mtu anayekukosoa ili ujirekebishe huo ni ujinga tu.
Kitendo kinachofanywa na wana CCM kuwabeza wapinzani pale wanapokosolewa ni kuendekeza ujinga tu.
Leo hii bungeni kumejaa misemo ya ubaguzi eti oooo Mbowe ametamka maneno ya kibaguzi.
Wacheni hizo ngonjera mbakie kwenye jambo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.