kujiridhisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. THBUB YAFANYA UKAGUZI KIWANDA CHA KEDS TANZANIA COMPANY LTD KUJIRIDHISHA NA UZINGATIWAJI WA HAKI ZA BINADAMU

    Katika utekelezaji wa majukumu yake ya Kikatiba na Sheria, Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) ukiongozwa na Kamishna Mhe. Nyanda Shuli umetembelea kiwanda cha KEDS TANZANIA COMPANY LYD na kufanya mazungumzo na baadhi ya Wafanyakazi wa kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya...
  2. Ulizingatia nini na kujiridhisha mpaka ukaamua kufunga nae ndoa?

    Ulizingatia umri wako na wake, nidhamu, heshima na utii, uaminifu, upendo, hekima, busara, fedha, mali, kazi yake, hali na maisha ya familia yake au cheo chake... Au ulizingatia siha na tabia njema, brain yake, IQ, elimu, rangi, dini, kabila, urembo, utanashati,sura, muonekano, umbo, kimo...
  3. Ni aibu kwa Media, Waziri na Wachambuzi wa Michezo kutoa maamuzi Goli la Yanga bila kujiridhisha

    Mpira ni kitu cha Duara hivyo unapotua chini ni sehemu ndogo tu ya mpira inagusa ardhi sehemu kubwa inakuwa hewani . Kwa maana nyingine ukiwa upande mmoja unaweza ona mpira umevuka lakini ukiangalia kutoka juu ukawa bado haujavuka wote . Na kwa maana rahisi ni kwamba VAR pia haiwezi kuwa...
  4. Nasubiri kujiridhisha kama sitomuona Feitoto Kikosini Taifa Stars ili nije na mhusika aliyesababisha hayo tumnyooshe

    Nimeshauandaa Uzi Maalum wa huyo mtu ila nasubiri hiyo Saa 1 Kamili Usiku nikione Kikosi cha Taifa Stars na kama hayuko na hakuitwa kabisa basi Usiku wa Leo hapa JamiiForums patawaka Moto kwani GENTAMYCINE nitaanika kila kitu. Update: Niliahidi kuja na Taarifa ya Ndani kwanini 'Feitoto'...
  5. Mwanasheria Mkuu Feleshi unaitia aibu Serikali na wananchi, umeshindwa kutetea nchi unawatafuta vidagaa kujiridhisha

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu Feleshi ni mtu wa ajabu. Kwanza ana historia ya ufisadi (suala la Plea Bargaining hatujapata jibu). Pili, ameshindwa kuitetea serikali au kushauri invyotakikna katika sula la mkataba wa DP World na serikali. Mpaka sasa hajatoa kauli ya kueleweka kwa nini...
  6. Tetesi: Kumekucha: 'Kelele' za watanzania zawafikia DP World, watuma maofisa wao kujiridhisha

    Hatimaye, malalamiko ya watanzania kuhusu uhalali na vipengele vya Mkataba kati ya Tanzania na Emirati ya Dubai kupitia Kampuni ya DP World yamewafikia na kuwashtua wahusika. Taarifa za uhakika nilizozipata zinaonesha kuwa DP World wamesikia hoja za wazalendo wa kitanzania na wameguswa nazo...
  7. R

    Nimefuatilia na kujiridhisha kwamba SUKUMA GANG twende na Tundu Lissu hakika 2025 tunachukua dola

    Habari, Binafsi nlikuwa nahisi kwamba Tundu Lissu anamchukia sana Hayati Magufuli hasa baada ya kile kisicho na ushahidi kuhusishwa kwake na Tukio la Kushambuliwa Tundu lissu. Alichokifanya Tundu lissu katika mazingumzo haya hapa chini kuhusu JPM ni dhahiri kwanza hamchukii JPM pili ni...
  8. Viongozi wa Dini wanazungumza na Serikali kuhusu Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anazungumza na viongozi wa dini mbalimbali kuhusu mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi na kijamii wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai. Mkutano huo unafanyika kwenye Ukumbi wa Kurasini Centre, TEC Jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu...
  9. Hatua zipi nizifuate ili kujiridhisha kuwa pikipiki nayotaka kununua kwa mtu si ya wizi?

    Habari zenu wanaJF, Nina mpango wa kununua pikipiki used, nimeona mitandaoni Facebook na Instagram pikipiki nyingi zinauzwa. Ukiachana na hofu ya kununua bidhaa mbovu, hofu yangu kubwa zaidi ni kununua bidhaa ya wizi ambapo bila shaka unaweza kuishia sehemu mbaya. Sasa Basi wadau naomba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…