kujisaidia vichakani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LGE2024 AIBU: Tanzania bado watu Wanajisaidia Vichakani. Uchaguzi wa 2024 uwe Mkombozi ili kulinda Mazingira

    Salaam Wakuu, Ni aibu kubwa baada ya miaka 60 ya uhuru kuona Watanzania bado Wanajisaidia Vichakani. Hii inatokana na kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa Wasiowajibika. Uchaguzi wa 2024 uwe Mkombozi ili kulinda Mazingira kwa kuhakikisha tunachagua Viongozi wanaojielewa bila kujali wanatoka...
  2. The Chanzo: Mikoa inayoongoza Tanzania kwa watu kujisaidia vichakani, porini na baharini

    Mikoa yenye idadi kubwa ya kaya zinazojisaidia vichakani, porini na baharini (hazina vyoo). Asilimia ya kaya kati ya kaya zote katika mkoa husika zinazojisaidia vichakani n.k 1. Kaskazini Pemba - 30.9 2. Kusini Pemba - 19.8% 3. Manyara - 17.3% 4. Arusha - 15.3% 5. Mara - 15.3% 6. Tabora -...
  3. Mikoa inayoongoza kwa watu kujisaidia vichakani, maporini na baharini

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…