Kila mmoja anasema pesa zipo kwenye personal brand! Lakini hawasemi maana halisi ya Personal brand.
Kwa lugha ya mtaani personal brand ni kama yule dalali ambaye anajulikana mji mzima. Na kila mtu ana namba yake.
Lakini kwa online ni tofauti kabisa!
👇👇👇Tuangalie hapa
Huku online ukisema...