kujitambulisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Career Mastery Hub

    WALIMU JUA NAMNA YA KUJITAMBULISHA: *TELL US ABOUT YOUR PERSONAL, EDUCATIONAL, AND PROFESSIONAL BACKGROUND*

    Hello! Today Niwapatia Silaha Kali ya mashambulizi dhidi ya Hilo swali😃, Simply, I’m sharing a formula you can use to answer this question by focusing on things your brain will follow, helping you be logical without memorizing too much. It’s not about quantity but about how your answer aligns...
  2. G

    Uliwahi kujitambulisha kwao kuweka nia kumuoa au kumtolea mahari lakini ukabadili gia angani? Why?

    Posa ni kwenda kujitambulisha nyumbani kwa binti unataka kumuoa, Mahari ni mali / pesa ambayo muoaji ataitoa. Inaweza kutokea Mwanaume kashatoa posa / mahari, mategemeo ya ndoa yanakuwa makubwa lakini mambo yanakuwa ndivyo sivyo Uliwahi kukutana na hii hali?
  3. MOSHI UFUNDI

    Wanaume tunaokwenda kujitambulisha ukweni hivi karibuni njooni tupeane mbinu za kurahisisha jambo

    Binafsi mwezi ujao naelekea Tanga maeneo ya Muheza kujitambulisha. Nimejipanga kwa haya yafuatayo. 1. Sitolala ukweni. 2. Ikitokea kula ukweni ntakula mlo mmoja tu. 3. Ntavaa simple sana( shati yangu ya mikono mirefu, suruali na balaghashehe kichwani) na kiatu changu cheusi 4. Nitaongea kwa...
  4. R

    Kwanini Marais wanaoingia madarakani Afrika wana "uchu" wa kujitambulisha Ulaya, Amerika na Asia but not vice versa?

    Why not vice versa? Mimi nadhani tunahitajiana, lakini picha inaonyesha kuwa sisi tuna uhitaji wao kulio wao walivyo. Tunawezaje kurekebisha hili?
  5. Obama-

    Yahusu kujitambulisha. Nimefurahi sana kujiunga humu

    Rejea kichwa hapo juu Mm ndugu yenu kwa furaha kubwa nimefura Sana kujiunga kweny platform hii kubwa Africa mashariki na dunian kote inayotukutanisha pamoja kujadiri masuala mbarimbari ya kijamii, kiuchumi, kisiasa, na mambo yote yanayotuzunguka nakutufanya tuishi. Ni matumain yang kua...
  6. M

    Tujadili: Mtu kujitambulisha kama Mzanzibari ni halali, lakini kujitambulisha kama Mtanganyika ni haramu!!

    Hii ni kero namba moja ya muungano ya muda wote!! Kwa bahati mbaya haijaorozeshwa wala hakuna mpango wa kuiorodhesha miongoni mwa kero za muungano. Juzi juzi tumefanya sherehe ya kumbukizi la miaka 60 ya uhuru wa "Tanzania", au wakiona aibu wanasema kumbukizi la uhuru wa "Tanzania bara"...
  7. Sky Eclat

    Jamaa alifundishwa jinsi ya kujitambulisha kwa watu muhimu, na alichofanya ilikuwa hivi

  8. Kiranja Mkuu

    Jinsi nilivyonusurika kifo kwa kipigo baada ya kujitambulisha kazi yangu

    Ilikuwa siku ya jumamosi tulivu ambapo jiji la Dar es Salaam na Tanzania nzima kwa ujumla macho na akili zao zilikuwa zimeelekezwa wilayani Temeke kushuhudia mtanange wa watani wa jadi, Simba na Yanga wakichiana kugombea ngao ya Jamii. Mimi na rafiki yangu Dr. Gill Biz na mkewe Hawa, tulikuwa...
  9. M

    Kujitambulisha

    Napenda kujitambulisha kwenu wanajukwaa na wanajamvi wezangu wa jamiiforums,naamini tutakuwa pamoja na tutajuzana na kushirikiana mada mbalimbali wadau wezangu.
  10. Idugunde

    Jinsi Ole Sabaya atavyochomoka kwenye mikono dhalimu iliyombambikia kesi

    Kwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili' Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa...
  11. single father

    Sina hamu ya kuendelea na mchakato wa ndoa tena

    Za jioni wakuu, Bila kupoteza muda kama kijana nilipata demu tukaenda sawa na process zote za ndoa ziko tayari bado mwezi mmoja tu ila cha ajabu kila nikimuona saa hivi naona hanivutii kabisa kila siku namtafutia sababu lakini anapangua maskini dada wa watu analia kila Siku sijui nimepatwa na...
Back
Top Bottom