kujitegemea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PendoLyimo

    Wakili wa Kujitegemea, Joseph Mahando:Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakikukiuka Katiba wala sheria yoyote kwa kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombe

    Wakili wa Kujitegemea, Joseph Mahando, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakikukiuka Katiba wala sheria yoyote kwa kumteua Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wake wa Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.Akizungumza kuhusu mjadala ulioibuka kuhusu uhalali wa mchakato huo, Wakili Mahando...
  2. Mkalukungone mwamba

    Baadhi ya Mashirika Umma yanayojiendesha kibiashara na yalitakiwa kujitegemea

    BUNGE limeazimia serikali kuondoa ruzuku kwa mashirika yanayojiendesha kibiashara ili yaweze kujiendesha kibiashara, kukidhi bajeti zao na kutoa gawio kwa serikali. Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Oran Njeza ameyasema hayo leo bungeni alipokuwa akiwasilisha taarifa ya mwaka ya shughuli...
  3. W

    Wimbi kubwa la wahitimu tegemezi wanaomaliza vyuo wasioweza kujitegemea, kuna faida ya kuwa na elimu ya chuo kama huwezi kujilisha?

    Tunawaona wahitimu wengi sana wakibaki majumbani au kwenda kwa dada zao walioolewa baada ya kuhitimu. Speaking from experience vijana wengi baada ya kumaliza chuo huanza kuomba ajira bila mafanikio (hawana connection, hawana experience), mwaka unakatika wanaona kujitolea (volunteering) kwenye...
  4. G

    Nilivyoweza kujinasua kwenye gharika la ndugu omba omba, Nilionekana mbahili lakini wanaanza kunielewa, pesa yangu siwezi kuitoa bila uwajibikaji

    Katika jamii nyingi za kiafrika kuna kodi inaitwa Black Tax, Ukisha onekana una kipato simu zinaanza kuita, yaani tayari ushavikwa jukumu la kusaidia ndugu wa familia, ndugu wa baba, ndugu wa mama hadi wa mke. Katika vitu ambavyo ningependa kuvijua tangu mwanzoni ni hivi Usije kutaja kipato...
  5. Waufukweni

    Dira ya Maendeleo 2050: Tanzania Kuelekea Taifa Jumuishi, lenye Ustawi na Kujitegemea

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof. Kitila Mkumbo amesema pamoja na mambo mengine, dira mpya ya maendeleo ya Taifa ya mwaka 2050 utaijenga Tanzania kuwa Taifa jumuishi lenye ustawi, haki na linalojitegemea. Katika kufikia huko, Waziri Kitila wakati wakati wa Uzinduzi...
  6. Massawejr

    Nafasi ya upendeleo

    Kwa upande wangu natamani sana kuona wanafunzi hasa kwanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita wanapewa elimu ya kutosha ya kujitegemea. Kwamfano nchi yetu kuna washauri na watu waliobobea kwenye masuala ya teknolojia ya mtandaoni, pia watengeneza maudhui
  7. B

    Siasa za Mwalimu Nyerere za Ujamaa wa kujitegemea na itikadi yake ya Azimio la Arusha ndio chanzo cha umaskini wa Tanzania

    Leo Oktoba 14, 2024 tunakumbuka kifo cha muasisi wa Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliyefariki siku na mwezi kama leo mwaka 1999 takribani miaka 25 sasa imepita Baada ya Tanzania kupata uhuru wake mwaka 1961 Mwalimu Nyerere alipata kufanya ziara nchini Marekani (USA) alikutana na Rais...
  8. ranchoboy

    Mchango wa Mwalimu Julius Nyerere Katika Kilimo na Siasa za Kujitegemea: Urithi wa Maono Makubwa Kwa Taifa la Tanzania

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa la Tanzania, alitambua mapema kuwa maendeleo ya taifa changa la Tanzania hayangeweza kutegemea misaada ya nje pekee. Aliweka msingi wa falsafa ya kujitegemea, akiamini kuwa Tanzania inaweza kujenga uchumi imara kupitia rasilimali zake za ndani...
  9. emmarki

    Nawezaje kuingiza pesa kwa kuwa na muandishi wa habari wa kujitegemea

    Mdogo wangu ni muandishi wa habari wa kujitegemea, ana online TV, YouTube channel Anawezaje kutengeneza pesa kwa kutumia karama yake ya uandishi wa habari wa kujitegemea. Wenye ABC naomba....
  10. W

    Watuhumiwa wa Ubakaji Kuwakilishwa na wakili wa kujitegemea

    Leo ni siku ya tatu tangu watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa binti wa Yombo Dovya jijini Dar es salaam wafikishwe mahakamani na kusomewa mashtaka yanayowakabili. Kesi hiyo itaendelea leo Agosti 21, 2024 kwa kuwasikiliza mashahidi ambao wameletwa na upande wa Jamhuri. Kesi hiyo namba 23476 ya...
  11. C

    SoC04 Kujitegemea kwa nafasi za ajira zinazopatikana kutokea kwa watumishi waliostaafu na waliofariki

    KUJITEGEMEA KWA NAFASI ZA AJIRA ZINAZOPATIKANA KUTOKEA KWA WATUMISHI WALIOSTAAFUU NA WALIOFARIKI. Kupata kazi au ajira baada ya kumaliza masomo imekuwa ni ndoto ya kila msomi, lakini katika karne hii hasa miaka ya hivi karibuni ndoto hii imekuwa ikitimia kwa wachache miongoni mwa wengi. Hali...
  12. X

    "Made in China 2025" Mpango wa China wa kujitegemea kiteknolojia wafikia asilimia 88

    'Made in China 2025' ukipenda iite MIC25 Huu ni mpango kabambe wa serikali ya China wa miaka 10 (2015-2025). Ambapo China imepanga kufikia 2025 ijitegemee kabisa katika teknolojia za hali ya juu (high tech) na innovation. Lengo ni kufikia the 4th industrial revolution (the integration of...
  13. A

    SoC04 Mfumo wa elimu bora wa kujitegemea na kujiajiri

    Tanzania tuitakayo: Kumekuwa na changamoto kubwa ya vijana walio maliza chuo kukosa ajira , hii inapelekea vijana kuwa tegemezi katika familia zao. Chanzo ya vijana kukosa ajira ni mfumo mbovu wa elimu ambaye inamwandaa mwanafunzi kuja kuajiriwa na sio kujiajiri! Tunahitaji Tanzania ya vijana...
  14. Angyelile99

    SoC04 Tuwajenge vijana wa elimu ya juu kujitegemea zaidi kwa kuanzisha kozi za ufundi stadi na ujasiliamali vyuoni

    Tanzania ni moja ya nchi za kiafrika zenye a idadi kubwa ya wasomi ambao wamekua wakiishi kwa kutegemea kuajiriwa. Hii imekua ni desturi sasa tangu kupata uhuru miaka ya 1961, ni kwasababu ya uwepo wa mfumo wa elimu ya kikoloni unao ruhusu utegemezi zaidi. Pamoja na uwepo wa jitihada kubwa za...
  15. Economist Jay

    SoC04 Inawezekana Tukawa Taifa Lenye Kujitegemea miaka 30 ijayo

    Leo nitachangia kidogo sana kupitia mpango wa maendeleo ambao watu wengi wanaweza kuuona kuwa ni wa ajabu sana. Nianze kwa kuuliza swali, inatufaidia nini kuwa na mbuga nyingi zinazoingiza kidogo sana kwenye pato la taifa ikiwa watu wake wana shida ya maji, afya na barabara huko vijijini...
  16. Codehood

    Kwa hali hii Afrika kuja kujitegemea ni ngumu sana

    Prof. Michael Hudson Mchumi kutoka Marekani anasema kuwa sababu zinazopelekea deni la Afrika kuwa tofauti na la Marekani ni kwasababu deni la Marekani lipo katika sarafu yake (Dola) Hivyo Marekani inaweza kujichapishia fedha zake na kulipa deni lakini Afrika deni lake halipo katika sarafu...
  17. Daspauls 238

    Kujitegemea maisha kipindi nipo chuo cha afya bila msaada wa wazazi

    Kama mpo mlio weza naomba mnipe codes hususani kipindi cha rikizo
  18. G

    Ni aibu Graduate wengi kumaliza chuo hawezi kujitegemea. Nashauri wasipewe vyeti hadi kuwe na ushahidi wa kujitegemea

    Kumekuwa na tabia iliyojizolea umaarufu kwa wahitimu wakimaliza vyuo wanarudi nyumbani na kushinda mitaani / mitandaoni bila shughuli maalum ya kuwafanya wajitegemee, muda huwa hausimami miaka inaenda unakuta mhitimu anagonga 28+ bado yupo kwao Wengi huwa wanaona njia pekee ya kujitegemea ni...
  19. Jaji Mfawidhi

    Maadili na mamlaka zinazosimamia nidhamu ya Mawakili wa kujitegemea, Mawakili wa Serikali, Mahakimu na Majaji (Ethical Values and Disciplinary Authori

    Wanasheria au Mawakili, Mahakimu na Majaji hawako juu ya Sheria, nao pia wanaweza kuchukuliwa hatua za kinidhamu na hata kushtakiwa Mahakamani kama mtu mwingine yeyote. Makala hii inahusu jinsi ya kuwawajibisha waliotajwa hapo juu kwa makosa ya kimaadili (nidhamu) tu na sio kuwashtaki...
  20. Down To Earth

    Waliopewa hii elimu hawawezi kushindwa kujitegemea.

    Kwa kweli enzi hizo maisha yalikuwa bam bam.. unapewa maelekezo na wazazi kibabe sana.. wahenga mnakumbuka?
Back
Top Bottom