kujitegemea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Kwanini traffic wengi ustaafu wakiwa maskini na wasioweza kujitegemea?

    Marafiki zangu wengi waliokuwa wakifanya kazi ya usalama barabarani (trafiki) hawana marafiki baada ya kustaafu, wanageuka kuwa walinzi wa makampuni binafsi na baadhi ushindwa kuishi kwenye jamii kutokana na kukosa skills za kujiimarisha kiuchumi Lakini pia nadhani wengi wanalipwa pensheni...
  2. Wafungwa waliomaliza kutumikia vifungo vyao kutumia ujuzi waliupata Gerezani kujitegemea

    Serikali imewataka wafungwa watakaomaliza kutumikia vifungo vyao gerezani kutumia ujuzi waliopata kujitengenezea kipato ili kuepuka kujiingiza tena katika uhalifu. Maagizo hayo yametolewa Novemba 20, 2023 na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi (Mb) Mhe. Jumanne Sagini wakati alipokuwa...
  3. R

    Makazi ya Mbowe huko Machame yatufunze kujitegemea siyo kuiba mali za umma kama wafanyavyo wanasiasa wengi nchini

    Nyumbani kwa Mbowe ni reflection ya utajiri na ukwasi usiotegemea fadhila za dola wala uteuzi. Huyu mwamba ameishi maisha yake, amepigania haki usiku na mchana na siku zote za vita hakuna siku tumewahi kumsikia akilia kufilisika au kukosa ukwasi wa kumfanya ajisalimishe kwa watawala. Tofauti ya...
  4. Kumnyima mtoto kazi za nyumbani ni kumbomoa! Atapata shida kujitegemea na kuishi kwenye jamii, Baadhi ya wazazi wenye Pesa acheni huu umbumbumbu

    kisingizio cha wazazi hawa huwa “Sitaki mtoto wangu apitie Maisha magumu niliyopitia”, ni kweli huenda mzazi ulikuwa unanyanyaswa utotoni kwa kufanyishwa shughuli zaidi ya uwezo wako lakini sio sababu ya kumnyima mtoto wake shughuli za kufanya. Mzazi unaweza kuweka elimu iwe kipaumbele kwa...
  5. Tutandelea siku tukiweza kuwa sisi, kifkra, uvumbuzi kujitegemea kwa kila kotu

    Habari..? Majuzi majuma kadhaa yaliyipita Raisi Samia alilalamikia kitendo cha nchi kama Thailand kutuacha kimaendeleo wakati uhuri tulipata wakati unaokaribiana. Yes, tumjibu raisi wetu kuwa akianza kuibomoa CCM na kuweka katiba mpya itakua tumeweza kusogea hatua ya kwanza. Hili taifa...
  6. Umuhimu wa kumjengea mtoto tabia ya kujitegemea mapema

    Na C-Sema Wakati mwingine, wazazi na walezi tunapata wasiwasi juu ya maisha ya baadaye ya watoto wetu. Tunajiuliza: Watakuwa na maisha ya aina gani? Watakuwa watu wazima wa namna gani? Hivi watafanikiwa kielimu? Biashara? Lakini kimsingi, sisi wazazi na walezi ndiyo watu pekee wenye jukumu la...
  7. Nini kilisababisha ukaamua kuondoka kwenu au kwa ndugu na kwenda kujitegemea?

    Katika maisha kila mtu ana stori yake kuhusu hatua aliyofikia au iliyofanya akaamua kuishia maisha yake. Mimi niliondoka nyumbani nikiwa na miaka 20 nikiwa namalizia Chuo. Na sababu ilikuwa tu kutaka kuwa huru na maisha yangu na kutofuatiliwa na wazazi kuhusu mambo yangu! Especially (Videmu...
  8. Kwa hili la Bandari nasimama na Rais Samia, tubinafsishe hata Halmashauri zetu

    Wakuu tunaibiwa Sana hiwezekani hata Rwanda na kibandari kikavu Chaowakusanye nusu yetu huu ni wizi wa miaka mingi sana tumeibiwa. Tunaibiwa ruzuku za vyama, kilimo, ukusanyaji wa mapato tena na halmashauri zetu kila kona. Mhe. Rais Samia tubinafsishe hata halmashauri zetu maana huko wizi ni...
  9. Ujamaa ulishaenda na maji. Hili la Kujitegemea nalo tushindwe baada ya miaka 60?

    Ujamaa ulishaenda na maji. Hili la Kujitegemea nalo tushindwe baada ya mika 60+ ya Kujijengea uwezo? Dhana ya kuacha kujitegemea wenyewe na mbadala wake ukiwa ni "kuendeshewa" biashara zetu kama usafiri, bandari na huduma zingine kwa kisingizio chochote kile imesheheni tabia za kijangwani...
  10. Maisha ya shule vs kuhalisia wa maisha ya kujitegemea na kulea familia

    Ukiwa Shule uliwacheka sana walimu juu ya mavazi yao. Uliona habadilishi viatu na nguo zinahesabika. Haya tuambie baada ya life la kitaa umeonaje uhalisia wa maisha ya kujitegemea na kulea familia? #ElimikaWikiendi
  11. Iwe amri vijana wakitaka kwenda vyuoni wawe na ujuzi wowote wa stadi kazi, wahitimu wanaokosa ajira wasio na ujuzi wanatia aibu kushindwa kujitegemea.

    Haingii akilini hata kidogo mtu apambane zaidi kutafuta njia ya kujitegemea kwa kutegemea elimu ya chuoni impe ajira ambazo hazina uhakika huku hana ujuzi wowote wa kumfanya ajiajiri kwa uhakika hata akikosa ajira. Mwenye ujuzi ni ngumu sana kulala njaa lakini mtu hata uwe na masters yako kama...
  12. Si busara kumruhusu mtoto aanze kujitegemea wakati hana chochote

    Kuna dhana imezoeleka na wazazi ambao vijana wao wamefikia umri wa kujitegemea kuwaruhu ama kuwataka waondoke nyumbani ili hali hawana chochote na inawezekana hata kazi hana inayoeleweka. Hii hali ina athari nyingi sana kwa vijana wa jinsia zote ila kwa wakike ndio zaidi. Kijana kuhitimu chuo...
  13. R

    Nakubaliana na CCM kwamba bodaboda na vicoba ndiyo njia pekee iliyobaki kuwakomoa Watanzani wajifunze kujitegemea

    Mtoto akililia wembe mwache umkate. Mtu yeyote anayesema bodaboda na vikoba siyo njia sahihi yakumkomoa Mtanzania akapimwe akili. Ukiona MTU amekubali kuwa bodaboda na ukamwambia ukuletwa Duniani kuja kuendesha bodaboda then huyo MTU akakupinga nakutamani urudi ukimbizini basi usiumize kichwa...
  14. J

    Tanzania tulipigania Uhuru ili tujitawale Kifikra na Kujitegemea au kumuondoa tu Mtawala mweupe?

    Kuna wakati dhana nzima ya Nchi kuwa Huru inachanganya sana. Hivi Watanzania tulidai Uhuru tukiwa na malengo gani hasa mahsusi. Chukulia mfano wa Tundu Lisu na Lema hawa ni Viongozi wakubwa wa Chadema lakini familia zao zinaishi Marekani na Canada. Hata CCM ina Watu wengi wa namna hiyo mfano...
  15. Elimu ya ujamaa na kujitegemea ni Kwamba haiwezi kurudishwa ili kukiokoa kizazi cha Sasa?

    Nilikuwa sijawa mwanafunzi kipindi Cha Nyerere na nilikuwa Bado sijazaliwa . Tukijaribu kuangalia product za elimu ya Nyerere ambao wengi wao ni wazazi wetu utagundua Kuna utofauti mkubwa kiutendaji (nikimaanisha product Zina skills nyingi za kujitegemea kuliko tulivyo Sasa hivi). Vya kale...
  16. Ni kumbukumbu ipi unaikumbuka siku ulivyoondoka kwenu na kilichokufanya uondoke kwenda kuanza maisha ya kujitegemea?

    Hakika ilikuwa ni siku ambayo binafsi niliumia, ni baada ya kushindwa kuendelea na elimu yangu nilipomaliza form 4 mwaka 2012.. pale home nilionekana nipo nipo tu, ikabidi nitafte mishe ya kujifunza useremala lengo likiwa nikianza kupata pesa nihame, haikuwa kama nilivyotegemea maana hata...
  17. Nimeamua kuondoka kwa kaka na kujitegemea

    Habari za muda wakuu jana niliomba ushauri kuhusu kuhama kwa kaka yangu. Kiukweli najilaumu sana kuchelewa kuanza maisha kwa sababu ya kusubili ahadi za ndugu toka nikiwa na miaka 23 nimekuwa nikiahidiwa msaada na mbaya zaidi mimi ndio nilikuwa nipo nyumbani na mama huko mkoani, Nimekuwa pale...
  18. Kumlinda sana mtoto (overprotective) ni kumlemaza na kumjengea mazingira magumu kwenye maisha yake ya kujitegemea

    Njia nzuri ya kumlinda mtoto ni kumkomaza ajue kukabiliana na maisha pale atapoanza kujitegemea ama ukitoweka kwa kifo na ulinzi wako kwake ukawa haupo tena. Sina maana ya kusema mtoto umlee maisha magumu tu, NO! Njia sahihi ni kumlea kivugu vugu, raha azijue na shida nazo ajue namna ya...
  19. Salama pekee ya Mtu Mweusi kujikomboa ni kwa Siasa ya Ujamaa na kujitegemea

    Nimekaa na kuwaza sana kuhusu nafasi ya Mtu Mweusi kwenye ulimwengu huu wa kibabe na ni kwa hakika wala siioni nafasi yetu zaidi ya kuonekana tu kuwa tunafaa kubaki kama Jamii ya kuwatumikia hao Wakubwa. Mifumo yetu yote ya Elimu imeasisiwa kwao na Wengine huko nasi kubaki kama wapokeaji...
  20. Uchumi wa Kujitegemea bila kunyongana haiwezekani

    Kunyonga wahujumu uchumi ni nyenzo muhimu sana ya uchumi wa kujitegemea. Hakuna mtu wala taasisi inayotakiwa kuwa juu ya sheria, kila mtu lazima aitumikie sheria. Huko tunakoelekea hakutakuwa na misaada isiyokuwa na madhara kwetu maana kila nchi itakuwa inalalamikiwa na raia wake kuhusu hali za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…