Tafadhali mheshimiwa rais tunaomba sana usitumie fedha nyingi za walipa kodi maskini kwa ajili ya kushinda uchaguzi. Watanzania wanahitaji maji ya kunywa, barabara angalau za vumbi, vituo vya afya, elimu ya msingi, nk.
Inasikitisha mno kuona mabilioni ya fedha ambazo zingetumika kuwasaidia...
Kwamba mdahalo wameukimbia?
Kwani Nchimbi walisema je?
Kwa hiyo mwamba ameulaza u nini?
Kama alikuwa na hoja au kujitetea au kutoa ufafanuzi ilikuwapo fursa bora kwake kuliko jana?
Viva CDM kuanza safari mpya free from "chawa wala viroboto!"
Kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu kufuga mbwa kwa ajili ya ulinzi majumbani, hii inapelekea watu kununua mbwa tu bila kujifunza tabia za mbwa kama unavyojua kuna aina mbali mbali za mbwa na wote wana tabia tofauti
Mbwa wengine siyo mahsusi kwa ulinzi wa majumbani. Ni vyema ukajifunza tabia...
Mimi kama mwanakijiji nataka Mwenyekiti aliyewiva katika kuzijua kanuni mbalimbali ...sitaki mwenyekiti mshari au lialia.
Sasa kama unahisi umeonewa onesha weledi wa kupambana kupitia kanuni sio vurugu wala media.
Mwanaume kazi yake ni kuzalisha (kutoa mbegu). Hata ukiwa umegawa mbegu kwa wanawake 10 tofauti wewe kaa kimya tu. Usianze kumfungulia codes zote huyo mwanamke unayetaka kuishi ama unayeishi naye.
Acha awajue watoto anaowazaa yeye tu, wengine hawamuhusu. Hata kipato chako usimwambie, ili upate...
Watanzania, tufike mahali tujiulize swali hli dogo tu:
Mikopo ya mitandaoni hutolewa kwa wateja kutumiwa hela kwenye simu zao na zaidi marejesho hutumwa kwa haya makampuni kwa kutumia lipa namba za mitandao ya simu. Sasa kama mpaka wanakuwa wamesajili lipa namba kwenye menu ya mitandao ya simu...
Kwenye Biblia, Adam alipoulizwa kwa nini kala tunda alilokatazwa, alijitetea kuwa si kosa lake, bali kashawishiwa na mke wake. Ingelikuwaje kama angelikubali kosa na kuomba msamaha?
Daudi alipofahamu kuwa kagundulika kuwa alimwua Huria baada ya kuzini na mke wake, hakujitetea kuwa ni mke wa...
Kuna mtu ananielewa?
Ni kawaida kwa asili ya binadamu kutaka kuwa na hulka ya utimilifu na kutamani mazuri pekee.
Ndiyo maana katika maongezi yetu mara nyingi ni ligi na ushindani, hatuongei ili kusuluhisha bali tunajitetea kwa kuhakikisha tupo sahihi.
Matokeo yake ni vigumu mno kumaliza...
Wakati hii kesi inaanza ya kuishtaki Urusi, nakumbuka Warusi asili na hawa wa humu JF kwa Mtongole walitukana sana na kusema Urusi haitotambua hii mahakama, sasa Urusi imekalishwa, imetuma wajumbe wa kwenda kujitetea.
Ikumbukwe Putin anaishi kama digidigi keshaogopa kuhudhuria vikao vyovyote...
Mimi ni Mkatoliki, nikianzisha mjadala unaopinga Mkataba wa DP World kuhusu Bandari yetu basi naitwa mdini, naambiwa mimi mkatoliki sipendi waislam! Huu ndio ujinga gani?
Yaani mnashindwa kujubu maswali muhimu ya wananchi mnaanza kuita watu ni wadini? By the way mtu ambaye anatafasiri kila...
Inakuwaje Mtu uliyefunzwa vyema tena Kimedani/ Kivita ukiwa na Ugomvi wako na Raia kwa mfano mmegombania Mwanamke na akakuzidi Kete 'akambandua' na Wewe (Mwanajeshi) kuchezea Kichapo (Kipigo) utakachokifanya ni kwenda Kambini kuwachukua Wenzako ndiyo mje Kumchangia huyu Raia na Kumpiga...
China yaendelea kuomba isije ikaeleweka vibaya, imejitetea mara kadhaa sasa kwamba haijawahi kuwa na nia ya kutoa misaada ya silaha kwa Urusi......
Aisei Mrusi analo....Kwa sasa hivi hata fununu kuhusu nchi yoyote kwamba inampa msaada Putin itakua kwenye tabu...hata mataifa ya Kiarabu...
Clouds TV jana iliita muuza madawa ya kulevya anaeitwa Jack Cliff kuja kujitetea jinsi alivyokamatwa na madawa ya kulevya.
Taarifa za uhakika zinaonyesha kua mamlaka nchini China/Macau zilimkamata Jack akiwa na madawa ya kuelvya aina ya Heroine kilo 1.1 mwilini mwake na kupelekea kufungwa...
1. Refa katuonea Saba
2. Tumefanyiwa Fujo
3. Tulipuliziwa Dawa Vyumbani
4. Tumerogwa sana
5. TFF ilitutenga haikutupa Mbinu
6. Mashabiki zetu walizuiwa Kuingia Uwanjani
7. Tumejitahidi ila Malaika Bahati hakuwa upande Wetu
Bado GENTAMYCINE tena kwa Kujiamini kabisa nasisitiza kuwa hata Jumapili...
Mgogoro wa NCCR Mageuzi umeibuka kwa sura tofauti baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, James Mbatia kuzuiwa kufanya mkutano wake na Waandishi wa Habari.
Katika hali ya kutaka kujibu uamuzi wa jana wa chama hicho, Mbatia aliitisha mkutano na Waandishi wa Habari katika Hoteli ya Regency...
UTETEZI WA KIJINAI
DEFENSES IN CRIMINAL CASES.
Karibu tujifunze namna ya kujitetea katika makosa ya jinai kulingana na mazingira ya kesi husika kwa kusoma makala hii.
Imeadaliwa na
Mr. George Francis.
Email: mr.georgefrancis21@gmail.com
Zifuatazo ni baadhi ya aina za utetezi wa makosa ya...
Niliposikia kwa mara ya kwanza kwamba hii Sinema ya Royal Tour (ambayo Rais wetu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ni Main Actor and Tour Guide) ina assert kwamba kifo cha Hayati John Pombe Magufuli kimesababishwa na Covid, nilistuka na sikuamini masikio yangu!Kwa maoni yangu hii inam-compromise...
Naandika nikiwa na hasira sana juu ya jinsi mimi na watanzania wenzangu tunavyoishi katika mazingira yetu ya kila siku.
Unakuta mtu naporwa simu, au naonewa lakini watu pembeni wamekaa tu hawashughuliki kumsaidia. Raia wote wanaacha jukumu la kujilinda liwe la polisi tu kana kwamba wao...
Wakuu, hii imekaaje, kwamba wanasiasa wote wa afrika (mfano Kenya). Unaweza ukamkuta na kosa na kulieleza bungeni ili aweze kutoa majibu, likini majibu ya mawaziri wenye wizara husika yanakua ni.
a) Tumesikiliza tutalifanyia kazi
b) Hilo lipo kwenye mpango, tutalirekebisha
Haya majibu huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.