👇🏻
1.> Jikubali kuwa unaweza, na unaweza kuwa yeyote muda na wakati wowote.
2.> Epuka kuishi maisha ya kuigiza, ishi maisha yako halisi.
3.>Usiishi Maisha ya kushindana, yatakupelekea kuwa mtumwa wa kudumu.
4.> Asilimia 90, ya Maisha ya watu mitandaoni sio halisi.
Hivyo Yasikufanye ukajiona...