Nimesikia hotuba ya Lissu katika sherehe za siku ya wanawake duniani iliyoandaliwa na BAWACHA. Hotuba hiyo ilidhihirisha kwamba hakuna mpango kazi wowote wa "no reform no election".
Tundu Lissu alionekana kujivua lawama kuhusu kauli hiyo na kusema iliasisiwa na uongozi uliotangulia.
Kwa...
Nimekuwa mtu wa kusaidia sana angalau kwa kiasi kidogo ninachopata kuwatimizia wahitaji.
Anaweza akapita mtu anahitaji msaada wenzangu wote watakaa kimya ila mimi lazima nitoe hata kama nimebakisha hikohiko mfukoni.
Natoa sana msaada huko barabarani.
Najitoa sana kwa mtu hata kama kaja kwangu...
Marekani kujiondoa WHO ni kama kete ya kuiachia mzigo wa gharama China inayotaka kujipanua kiuchumi duniani.
Wakati marekani ina watu milioni 400 , China ina watu 1.5 bilioni lakini inachangia kidogo zaidi katika WHO kuliko Marekani.
Marekani inaona kama inabeba mzigo mkubwa pekee wakati China...
"....kachanganyikiwa!"
"...hivi anapigia simu watu wake kule CCM mfululizo. Mkubwa mmoja kamshauli aondoke kabla ya kushughulikiwa ili eti kulinda heshima yake. Kaahidiwa mapokezi makubwa siku ya Ziara ya Rais Samia hivi karibuni atakapo kwenda kuzindua ile Meli mpya."
Duru.
Kwa Ninachokiona hapa Mbowe hawezi kushinda kihalali kamwe,
Na akishindwa kwa njia ya Kura atakua amedhalilika na ametoka kwa aibu ya kukataliwa na wanachama, na endapo atalazimisha ushindi wa bao la mkono au vyovyote vile basi Chama kitapoteza ushawishi sana kwa wananchi na wanachama wa...
Wakili msomi maarufu Nchini Tanzania na ambaye mara zote hujizolea sifa kemkem kwa uhodari wake asimamiapo kesi za Wana-CHADEMA na hususani Viongozi wake inaelezwa ame-wataarifu watu wa karibu yake kukatishwa tamaa/kusononeshwa na atendewayo Lissu ikiwamo kutwezwa.
"....Kibatala anafikiria...
Hulu zoezi la mjumbee WA kamati kuu kujitoa rasmi
Moto umeanza kuwaka huko
Kwa ndugu ZETU
Na habari za chinichini. KUNA kundi KUBWA la watu wakiwemo wenyeviti kadhaa wakanda na derkl za mitaa waliochaguliwa majuzi kujitoa
Hali kadhalika BAADA ya uchaguzi WA mwenyekiti KUNA vitukoo vingi...
Tanzania ilijitoa rasmi kwenye Mkataba wa Kukubali Mamlaka ya Mahakama ya Haki za Binadamu na Watu ya Afrika (AfCHPR) mnamo Novemba 2020. Sababu kuu zilizotajwa ni pamoja na:
1. Matumizi Mabaya ya Haki za Kisheria: Serikali ya Tanzania ilidai kuwa baadhi ya watu binafsi na mashirika walikuwa...
Wataalamu wa mambo naomba kuuliza hivi zipi zilikua sababu za Uingereza kujitoa EU?
Soma pia Kwa ushindi wa chama cha Labor, je luna uwezekano wa Uingereza kurudi European Union?
Ona pia
Inahitaji akili kubwa kiasi gani kuelewa kwamba kwa kuwa Zanzibar wana serikali na Rais wao, Rais wa Tanzania, kimsingi, ni Rais wa bara?
Si kosa CHADEMA kuingia katika uchaguzi mkuu 2025 na sera kwamba wakishinda uchaguzi watahakikisha Tanganyika wanapata serikali yao ndani ya muungano...
zamani tulisikia mtu kajilipua kwenye daladala huko Tel aviv, mtu kajivika mabomu na kujilipua mtaani.
Lakini hadi sasa ni karibu miaka 10+ sijawahi kusikia kuna mtu kajilipua huko middle east kuwaua waisrael au watu flani asiowapenda
Je, Teknolojia ya kuwagundua imekua?
Je wamegundua ni...
Nipo sehemu flani hivi executive. Nimekaa na mpenzi wangu tuna enjoy mlo wa mchana.
Kilichonishtua ni ustaadhi wa kiarabu kaja na vitoto vyake viwili. Haviongei kiarabu. Vinashindana na vitoto vingine vinne vya kihindi kuongea Kizungu. Siyo Kiarabu siyo Kihindi. Kizungu.
Nimechoka kabisa...
Mnyika alikuwa mtu wa kwanza kutangaza kutekwa kwa Mohamed Kibao ndani ya Dk kumi kama tangu kutekwa pale tegeta na kuelezea kwa undani sani tukio zima as if ni jambo alilolijua muda mrefu hadi namba za watekaji ,kumuacha mnyika nje ya uchunguzi litakuwa jambo la hovyo sana.
Mnyika huyohuyo...
Ingali tupo hai damu itajibu uhai wa waliofariki,MiKONO yote michafu ya waliowezi itavunjwa na kukatwa vipande vipande na damu yao itakuwa ni sherehe kwa familia zilizoathirika na umwagaji damu wa wapendwa wao.
Dunia haikuachi salama ikiwa umetenda ubaya,ipo siku Tanzania itazinduka kutoka...
From the river to the sea ndio kauli mbiu yao, Kuua waisrael wengi kadri inavyowezekana.
Mungu ni Mwema maisha ya wanawake, watoto na wazee wengi wa kwenye mkusanyiko yameokolewa.
Kuna possibilities zifuatazo
yawezekana kulikuwa na hitilafu za kiufundi kwenye bomu
Mossad wana teknolojia ya...
Baada ya hospitali ya Agakhan kujitoa kwenye kuwahudumia wateja "Executive" wa NHIF, mashirika makubwa ya umma yanayotumia NHIF nayo yanajiandaa kutoongeza mkataba wao na NHIF.
Kama ilivyokuwa zamani haya mashirika yalikuwa yanatumia mifuko mingine ya bima za afya kama Strategis na...
Rais wa Zanzibar qnaitwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
Swali ni je, hilo ni Baraza lipi tena wakati mapinduzi yalishafanyika mwaka 1964?
Au kuna mapinduzi mengine ambayo bado hayajatimia?
Inawzekana ufafanuzi uko katika somo la uraia au some la siasa enzi zile ila...
THE BOYS drama ya kimarekani inayohusisha masuperheros au (Mashujaa kwa waswahili). Drama hii inaelezea Superheroes wenye ushawishi kwa umma waliyejiwekeza katika (siasa) wanasiasa, na wakati mwingine hata kuheshimiwa kama miungu.
Lakini hapohapo kuna kundi la ambao wanatumia nguvu zao kwa...
Hapa nazungumzia tabia isiyofaa kwenye mpira wa soka.
Tabia utii heshima upole kujishusha uvumilivu na kujitoa hivi ndiyo vitu ambavyo ni mtaji katika tasnia ya soka. Angalia hapa yuko wapi sancho wa borussian detmold ya ujerumani. Huyu ni kijana wa kiingereza mshambuliaji ambapo kwa umri wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.