Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI) ikimtaja Matthew Livelsberger, kuwa mtu aliyefariki ndani ya gari aina ya ‘Tesla Cyber truck’ iliyolipuka nje ya hoteli maarufu ya Trump jijini Las Vegas, polisi nao wamesema ni tukio la kujitoa muhanga.
Tukio kilo lilitokea zikiwa zimepita saa chache...
Wakuu,
Abiria 400 wa Treni nchini Ufaransa wamenusurika kifo baada ya dereva wa Treni kujirusha huku treni ikiwa kwenye mwendo kasi siku ya December 25,2024
.
Mamlaka ya reli Ufaransa imesema kuwa Dereva huyo aliyefahamika kwa jina la Bruno Rejony (52) mwenye uzoefu wa muda mrefu kwenye...
Abdifatah Moalim Nur maarufu kwa jina la Qeys aliyekuwa Mkurugenzi wa Somali TV amefariki kwa shambulio la bomu wakati alipokuwa kwenye mgahawa katika Mji Mkuu, Mogadishu.
Anakuwa Mwanahabari wa kwanza kuuawa ndani ya Mwaka 2023 Nchini Somalia.
Kundi la Wanamgambo wa Al-Shabab limekiri...
Mlipuaji wa Bomu hilo lililojeruhi watu 157 amefanya tukio hilo akiwalenga askari Polisi ambao ndio wamekuwa wakisali kwa wingi katika Msikiti uliopo Peshawar katika eneo linalotumiwa na Wanasalama wa makao makuu kwa ajili ya ibada.
Waziri Mkuu wa Pakistan, Shehbaz Sharif amedai magaidi...
Bomu hilo limelipuka baada ya mtu kujitoa mhanga katika kituo cha wanafunzi wa Chuo Kikuu waliokuwa wakijiandaa katika Mji wa Kabul wengi wao waliouawa ni wasichana.
Inadaiwa kuwa watu wengine 36 wamejeruhiwa katika kituo hicho binafsi kinachohusisha wanafunzi wa kike na wakiume.
Shule nyingi...
Wanajeshi wengine 6 wamejeruhiwa katika tukio hilo baada ya mwanajeshi mmoja kujilipua katika kambi ya jeshi Magharibu mwa mji wa Mogadishu.
Kundi Al Shabaab lenye uhusiano na Al Qaeda linadaiwa kuhusika katika shambulizi hilo. Muuguzi wa hospitali ya Madina amesema wamepokea mwili mmoja na...
Asema anguko la kiuchumi la Urusi halivumiliki. Na kamba hivi vita havina mshindi.
========
Oleg Deripaska criticizes Russia's actions
The important Russian oligarch Oleg Deripaska has made some striking comments about the war in Ukraine. Putin's favorite billionaire said that there would be...
Takriban watu 15, akiwemo mbunge mwanamke wa bunge la shirikisho la Somalia, waliuawa katika milipuko miwili ya kujitoa mhanga katika mji wa Beledweyne katikati mwa Somalia.
Waziri Mkuu Mohamed Hussein Roble ametaja kifo cha Amina Mohamed Abdi kama "mauaji".
Rais wa Somalia Mohamed Abdullahi...
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Camillius Wambura amedai kuwa uchunguzi uliyofanywa na Jeshi la Polisi umebaini kwamba Hamza Mohammed alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga.
Hamza aliuawa na polisi Agosti 25, mwaka huu baada ya kuwaua kwa risasi askari wanne, watatu kati yao wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.