kujitoa muhanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Mashambulio ya kujitoa muhanga je ilikuwa kweli au propaganda?

    Niende moja kwa moja kwenye mada. Nakumbuka enzi hizo nikiwa mdogo miaka ya 2000+ nilikuwa napenda sana kusikiliza BBC yaani nilikuwa sipitwi. Moja kati ya habari nazozikumbuka ni watu kuvaa mabomu kujitoa muhanga sijui sokoni, kwenye kituo cha basi n.k . Nakumbuka hizo habari zilikuwa...
  2. matunduizi

    Kwanini siku hizi hakuna ugaidi wa kujitoa muhanga Middle East?

    zamani tulisikia mtu kajilipua kwenye daladala huko Tel aviv, mtu kajivika mabomu na kujilipua mtaani. Lakini hadi sasa ni karibu miaka 10+ sijawahi kusikia kuna mtu kajilipua huko middle east kuwaua waisrael au watu flani asiowapenda Je, Teknolojia ya kuwagundua imekua? Je wamegundua ni...
  3. G

    Israel: Gaidi aliyevaa begi lenye mabomu ya kujitoa muhanga alipuka kabla halijafikia eneo lililojaa watu

    From the river to the sea ndio kauli mbiu yao, Kuua waisrael wengi kadri inavyowezekana. Mungu ni Mwema maisha ya wanawake, watoto na wazee wengi wa kwenye mkusanyiko yameokolewa. Kuna possibilities zifuatazo yawezekana kulikuwa na hitilafu za kiufundi kwenye bomu Mossad wana teknolojia ya...
  4. MK254

    Mwanamke ajilipua bomu na kufa na watu 18 Nigeria

    Hivi kwa mwanamke kujilipua bomu, alla wenu amewaahidi nini wanawake, maana nyie wanaume mtagegeda mabikira... Wanawake watagegedwa na mabikira au nini.... ========================== At least 18 people were killed and 30 others injured after a series of attacks by suspected female suicide...
Back
Top Bottom