Mambo ni moto, mi nawasogezea tu taarifa karibu, muda wa kufanya maamuzi ukifika mnakuwa na taarifa zote muhimu.
Kupata taarifa za mikoa mbalimbali kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimesema hakijajitoa na wala hakina mpango wa kujitoa kwa Sasa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa Mwaka 2024.
Kimewahimiza wanachama wake walioteuliwa nchi nzima kuanzis tarehe 26 Oktoba, 2024 wajitokeze mapema kwenda kuchukua fomu za Serikali za kugombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.