Nawapa hii kutoka chini ya kapeti. Huu ni mwanzo tu. Kuweni makini muwe na Plan B baada ya mdhamini wenu kunitoa mtaishije.
Baada ya GSM kujitoa kudhamini ligi na kisha kujitoa uenyekiti wa Kamati ya Hamasa, kinachofuata sasa ni kunitoa rasmi kudhamini Yanga na kibaki na mkataba wa msingi wa...