Binti mmoja wa Nchini Uhispania Noelia (23), amepanda kizimbani kutoa ushahidi Mahakamani ili kumshawishi Hakimu amruhusu kufariki kwa hiyari yake baada ya Baba yake Mzazi kufungua shauri Mahakamani la kupinga Mtoto wake kutaka kujiua kwa hiyari.
Noelia atapanda kuzimbani kujitetea ambapo...