kujiunga sekondari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Swali la Siku: Taarifa gani ulisikia kabla ya kujiunga Sekondari ambayo baadaye ulibaini kuwa Potofu?

    Wanaofanya Upotoshaji huwa wana lengo walilokusudia kulitimiza hivyo hawaachi wala kuchoka kufanya Upotoshaji wa Taarifa. Ili kujikinga dhidi ya Upotoshaji, ni muhimu kufanya Uhakiki wa kila Taarifa unayokutana nayo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…