Kaimu kamanda wa polisi Mkoa wa Njombe Ally kitumbo amewataka vijana kutojitoa uhai pindi wanapoachwa na wenzi wao, kwani kufanya hivo ni kosa kwa mujibu wa sheria.
Ametoa tahadhari hiyo ikiwa ni masaa kadhaa tu yamesalia kabla ya kuanza rasmi kvwa sikukuu ya wapendanao maarufu kama Valentine...