kujulikana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. milele amina

    Mrithi wa Kinana kujulikana Januari 19 Dodoma, Fomu za kugombea na kuomba nafasi hiyo zinapatikana wapi?

    Ninaomba,msaada wenu! Mimi ni mwanachama wa CCM tangu mwaka 1977. Ninahitaji kupata fomu kugombea nafasi ya Kinana! Fomu zinapatikana wapi!
  2. Magical power

    Dada kujulikana ukweni sio kuolewa. Kuongea na mtu masaa yote sio kuolewa. Kutolewa barua sio kuolewa.

    Dada kujulikana ukweni sio kuolewa. Kuongea na mtu masaa yote sio kuolewa. Kutolewa barua sio kuolewa. Unaweza ukawa na mtu miaka na msioane, Lakini ukaja kutana na mtu ghafla tu akawa ndio rizki yako. ......usijimalize sana dadangu.
  3. Waufukweni

    LGE2024 Hatma ya TAMISEMI na Uchaguzi kujulikana leo, Jaji Ngunyale kutoa hukumu

    Hatma ya kesi inayomhusu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) katika kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji inatarajiwa kujulikana leo, Oktoba 28, 2024, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam. Soma, Pia: Bob Wangwe aiomba...
  4. Gang Chomba

    Nyota wa Soka walio anza kama Ball Boys…wangapi umewatambua?!

    Tuanze na Gerald na Arnold na Gerard na Kovacic…
  5. ndege JOHN

    Kuna watu huwa wana enjoy zaidi ile hali ya wao kujulikana wameishiwa hela

    Kuna Wale Watu wa kujichanganya na watu wa namna zote wenye hela na wasio nazo, wanywa bia na wanywa gongo huwa wananifurahisha sana pale wanapopata hela yaani moyo hautulii mpaka hela iishe. Na kati ya maskini na matajiri nimejifunza wanaoongoza Kwa dharau ni maskini hawahawa wanywa gongo...
  6. BARD AI

    Hatma ya Katibu Mkuu CCM kujulikana leo

    Barua inayodaiwa kuandikwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, kuhusu kujiuzulu wadhifa huo, ni miongoni mwa mambo yanayojadiliwa katika kikao cha Kamati Kuu (CC) ya chama hicho leo. Katika kikao hicho kinachofanyika Ikulu ya Dar es Salaam, Chongolo ni miongoni mwa...
  7. Erythrocyte

    Mahakama kutoa uamuzi wa Kesi ya Halima Mdee na wenzake Desemba 14

    Wakati baadhi ya Walalamikaji hao wameanza kuvaa sare za ccm , huku wengine wakihutubia kwenye Majukwaa ya CCM, imetangazwa kwamba hukumu ya kesi yao dhidi ya Chadema itatolewa Desemba 14 2023. Ikumbukwe kwamba Halima Mdee na wenzake , akiwemo Dada yangu Sophia Mwakagenda walifungua kesi...
  8. Gulio Tanzania

    Kwanini wadada wengi siku hizi wanazaa bila kujulikana baba wa mtoto?

    Imekuwa ni fasheni kwa wadada na mabinti wengi wanazaa bila mtoto kujulikana ni wa nani hii hatua waliofikia hawa dada zetu naona tunaelekea kupoteza maadili yetu kama watanzania. Nina dada yangu pia nina shangazi yangu hawa wote wamezaa bila kuolewa kibaya zaidi watoto haijulikani baba zao ni...
  9. Victoire

    Alichopost Spika Tulia Ackson baada ya hoja yake kuhusu kugawanywa jimbo la Mbeya Mjini

    Huyu ndo Speaker/Rais wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ila nimeamini viongozi wetu ndo reflection ya wananchi. Speaker yupo hivi, wananchi je? Zaidi, soma: Spika Dkt. Tulia aomba jimbo la Mbeya Mjini kugawanywa
  10. Kilimbatzz

    Mpinzani wa The Super Dar es Salaam Young Africans kujulikana kesho

    Timu zilizoingia robo fainali kombe la CAF CC ni: 1)Asec Mimosa-Cote d'Ivore 2)Rivers United-Nigeria 3)Marumo Gallants-South Africa 4)Young Africans-Tanzania 5)AS Far Club-Morocco 6)Pyramids-Egypt 7)US Monastrienne-Tunisia 8)USM Alger-Algeria Kuna timu nne za Juu ya Jangwa la Sahara na...
  11. JamiiForums

    Kulwa Masanja Isenge anyakua milioni 5 katika Shindano la 'Stories of change' 2022

    Baada ya takriban miezi 4 ya kusubiri kumjua atayejishindia zawadi ya andiko bora kwenye kinyang'anyiro cha storie of change 2022 siku imefika, leo ndio leo, washindi watatangazwa na kupewa zawadi zao. Mshindi wa Shindano la “JF Stories Of Change” atakayejinyakulia kitita cha Tsh. Milioni 5...
  12. Chizi Maarifa

    Wanaomkwamisha Rais wanaanza kujulikana

    Unaona tu jinsi ambavyo Rais anapambana. Hatulii nyumbani. Akitafuta pesa. Ila kuna watu watakuwa wanamkwamisha. Uongo? Ukikaa ukatizama utaona kuna watu wanampotosha sana Rais. Wanamdanganya jinsi wanavyojisikia wao. Anytime anything.
  13. Shark

    DTB sasa kuitwa Singida Big Stars

  14. Inevitable

    Hatma ya ubunge wa Mdee na wenzake kujulikana leo

    Vyanzo vya ndani vinadai Ubunge wa kina Halima unaweza kuisha leo kwani Bunge limeshafanya maamuzi. Tusubiri, ni muda mchache ujao
  15. Lady Whistledown

    Hatma ya Will Smith Kujulikana tarehe 8 Aprili 2022

    Bodi ya Magavana ya Chuo cha Sanaa na Sayansi ya Picha Motion imesogeza tarehe iliyopangwa ili kuamua kuhusu uwezekano wa vikwazo dhidi ya Will Smith kwa kumpiga kofi Chris Rock kwenye sherehe za tuzo za Oscar mwaka huu. "Ninaitisha mkutano wa bodi kwa Ijumaa asubuhi, Aprili 8, saa 9:00 asubuhi...
  16. John Haramba

    Mahakamani: Hatma maelezo ya mke wa Bilionea Msuya kujulikana leo Februari 21, 2022

    Hatima ya maelezo ya onyo yanayodaiwa kutolewa na mke wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa madini, marehemu Erasto Msuya maarufu kama Bilionea Msuya, Miriamu Mrita itajulikana leo Jumatatu Februari 21, 2022 wakati Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itakapotoa uamuzi wake. Miriam ambaye...
  17. Suley2019

    Mbivu na mbichi za Wagombea Uspika wa CCM kujulikana leo Januari 19, 2022

    Mchakato huo unaendelea pia kwenye Chama cha ADC ambacho ni kati ya vyama vya upinzani chenye mgombea, Maimuna Kassim, aliyejitokeza kuchukua fomu ya kuwania kiti hicho kilichoachwa wazi. Wateule ndani ya CCM watajulikana baada ya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya chama hicho kupitisha majina...
  18. ladyfurahia

    Kujulikana ni raha au karaha?

    Habarini wadau wa humu. Toeni ya moyoni kuhusu kujulikana Je kwako mwenzangu KUJULIKANA kuna raha au karaha? TIRIRIKENI WADAU hapa. Mimi kujulikana naona raha sijui wadau mabestito. Wasalamu Ladyf
  19. From Sir With Love

    Usitume mchanganuo wa malipo yako ya LUKU hapa jamvini kama hutaki kujulikana kirahisi

    Baada ya kuanza kulipia kodi ya majengo kwenye mfumo wa LUKU, watu wengi hapa jamvini wamekuwa wakipost screenshot au mtiririko wa sms waliyolipia LUKU ikionyesha makato. Kitu walichosahau wakati wanatuma hizo screenshot au mtiririko wa malipo, ni kwamba wameanika LUKU meter number zao kwa kila...
  20. N

    Je, yapaswa mishahara ya viongozi wetu wa kisiasa kujulikana kwa umma?

    Kuanzia Rais, Makamu, Waziri Mkuu, Spika, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya n.k na hasa wale wanaopata uongozi kwa kura zetu - je si ni haki yetu rais kujua mishahara yao?
Back
Top Bottom