NimesikilizaVibaovipyavya mwanamzikinguli R-Kelly aka ROBERT KELLY ameshusha nyimbo mpya na nzuri ila zote ni zakumtukuza Mungu na kujutia ila ni nzuri sana!
Msikilize Hapa Toa Maoni yako ila mimi nimemuonea Huruma namuombea Trump amfungulie kama ambavyo wamarekani wamekuwa wakiomba atolewegerezani!
Wakuu ni takribani wiki kadhaa nilkuja na uzi wa kuhamia mwanza, niseme tu ukweli tangu nimefika hapa jijini sijawahi kupaelewa katika harakati zangu.
Mbaya zaidi sehemu nilipokuepo mwanzo nishaondoa rasilimali zote nikahamishia huku.
Kila kitu naona hakiendi, mtaji niliokuja nao naona unazidi...
Kwanini Mtu anapomaliza kupiga NYETO (Kujichua) anaanza kujutia kwa kitendo hicho?
Habari wadau tushirikishane suala hili kwanini inatokea hivyo?
Uzi huu isifutwe majibu ya hapa yatasaidia wasomaji na walio katika hali hii kwa muda mrefu au wanatamani waanze
Nape aliweza kwenda Ikulu kumwomba radhi Magufuli kwa lengo la kupata madaraka. Lakini alishindwa kwenda kumwomba radhi Lowassa baada ya kumdhalilisha na kumtakia kifo kwenye mkutano wa adhara 2015.
Alitamka maneno ambayo katika hali ya kawaida huwezi kusema yametoka kinywani kwa mwanadamu...
Huduma zote mhimu kwa wananchi zimefeli vibaya mno
Ripoti za CAG zinawekwa makabatini tu kwa mh sipika bila kufanyiwa kazi na wahusika wapo, hii ni dhambi kubwa sana na unyanyasaji kwa vibaka wa kuiba kuku huku mafisadi yakilelewa na viongozi!
Huduma za matibabu hovyo
Dollar hakuna
Umeme...
Leo ikiwa ni Wiki ya Pili ya Tamko la Maaskofu kusomwa Makanisa yote ya Roman Catholic, nimevutiwa na Maneno aliyoyaongea Paroko mmoja kwenye Ibada " Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija...
Habari zenu wakuu, niende direct kama kichwa cha uzi kinavyojieleza hapo juu.
Bila kupepesa macho, hili suala la mkataba wa bandari kati ya Tanzania na DP World lilijawa mihemko ya kimaslahi binafsi na Kicmm sana. Yaani karibia CCM wote wanakubali mkataba bila kujali maslahi mapana ya taifa...
Hii simulizi, kwa namna moja au nyingine, ina link na simulizi yangu ya kwanza kabisa hapa jukwaani Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...
Maswali mengi ambayo hamkuyapatia majibu kwenye simulizi ile, basi mtayapata kwenye hii ya sasa. Na mengine ambayo hamtoyapata humu, pengine...
Naendelea kuja hapa kivingine
Kabla ya kuendelea na declare kwamba Mi ni Mwana CCM nilofanya kazi ngazi zote za chama na kila awamu isipokuwa ya Mwalimu Nyerere,
Kila binadamu Ana mapungufu yake na ndo maana Mazuri ya JPM yapo na Mabaya yapo Pia ,
Niendelee kutumia frusa hii kuwa kumbusha...
USIACHE AJIRA KABLA YA KUJITATHIMINI KWANZA: hapa namaanisha ujiulize je ajira yako inakupa furaha au inakukera na unaenda tu ili uweze kukidhi mahitaji yako ? na je ukijitathimini ukiwa uzeeni kwako baada ya kuendelea na hiyo ajira bila kujaribu kujiajiri utajilaumu au hautajilaumu? basi...
Binafsi nimeangalia Picha Tano ( 5 ) zote nimeona tu Kuna Mtu Sura yake ni ya Utulivu na ya Umakini ila ya Mtu mwingine kila mara anabembeleza, anatabasamu, anataka yaishe, anaomba Msamaha kwa Mikono, mara avae Barakoa na mara aivue na anaonekana Kashukuru kwa Kuutua Mzigo uliokuwa ukimuelemea...
Uraia alionao na tuliompa after the fact unaweza kupingwa kwenye mahakama za juu za mpira kama timu iliyofungwa na Simba au taifa stars ilimchezesha Kibu Denis kwenye mechi zake.
Kibu alisajiliwa na Simba kama raia wa Tanzania na kucheza mechi za ndani na nje ya Nchi kama raia wa tz wakati...
Hi Wanajamii,
Kama title hapo unavyoiona kiukweli mimi pia ni muhanga wa hili jambo yaan kupagawa na muonekano wa pisi kali lkn baada ya kuingia ktk uhusiano kiukweli ni majutoo , vizinga kibao show mbovu , yaan unaaanza kujutaaa ..[emoji24] .
Niliwahi kuwa na manzi tena ni mtoto mkali, pisi...