kukaa karibu na wapenda dini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaka yake shetani

    Kama unapenda mambo ya kidunia nakushauri usijenge wala kupanga na mtu au watu anayependa dini mtasumbuana

    Nakumbuka niliwai kupanga nyumba ya mpenda dini basi kila nacho fanya ujana wangu yani kila siku kuning'ang'ania ni silimu ikabidi nihame ile nyumba. Nikapata nyumba nyengine ya mlokole yani enzi hizo nyimbo ya FM academia na ekudo sound hataki nyumba yake tupige ila usiku ni mwendo wa maombi...
Back
Top Bottom