kukaanga karanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fuqin

    Natoa huduma ya kukaanga karanga

    Habari, Ndugu wafanyabiashara wa peanut butter, unga wa lishe, karanga za kutafuna na n.k. nina mashine ya kukaanga karanga yenye uwezo wa kukaanga karanga zaidi ya kg 50 na pia nina mashine ya kutoa maganda yake kama utahitaji. Naanzia kg 25 na kuendelea, gharama za huduma ni sh. 30 kwa kilo...
Back
Top Bottom