Wakuu nimemaliza chuo mwaka huu hata joho bado sijavaaa yaani Sitaki kuwa kama graduates wengine kuendekeza aibu au kuwa na yale mawazo ya watu watanionaje hapana.
Yaani bila kupoteza muda hapa Nnina wazo la biashara mbili. Biashara ya kwanza nataka nianze kukaanga mihogo.
Nyingine nataka...