Habari zenu wadau,
Leo tupeane mbinu mbalimbali unazotumia kukabiliana na mdudu msumbufu mbu.
Wengi wetu hutumia chandarua lakini zinaleta bad looking ya chumba chako. Pia si muda wote utakua kitandani ndio ujikinge na mbu.
Ukitumia spray nayo maharufu makali, ukifunga dirisha especially hizi...