kukagua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SERIKALI Ifanye msako wa kukagua haya magorofa kuna gorofa zinapicha ya ghorofa 3 gafla unaona 4 hii sijui inakaaje

    Haya mambooo yanachangiwa na ma eng wa manispaaa na wanaotoa vibali halmashauri Wamechangia vifooo vngi sana kwa ndugu zetu hawa Unajiuliza leo hii zinasambwaza taarifa fb wamiliki wamesafiri nje ya nchi tena wiki hiii Badooo nawaza wale ma engn waliohusika kusimamia kukagua lile gorofa...
  2. L

    Utaratibu Mpya wa Mawaziri Kukagua na Kuzindua Miradi isiyo katika Wizara zao Hauwezi kuleta migogoro?

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeona kwa siku za karibuni kuona Waziri au Mawaziri wakifanya kazi ya kukagua ama kuzindua ama kutembelea miradi isiyo chini ya wizara zao. Sasa katika utaratibu huu mpya nilikuwa na Maswali kadhaa ila leo nauliza machache. Je utaratibu huu hauwezi kuleta migogoro ya...
  3. Waziri wa Elimu ziarani Mkoani Njombe kwa ajili ya kukagua miradi

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amewataka Watanzania kujivunia kwa maendeleo yaliyopatikana katika sekta mbalimbali zinazogusa wananchi moja kwa moja. Akizungumza na viongozi na watumishi wa Halmashauri ya Njombe, Septemba 20, 2024 wakati wa ziara ya kukagua miradi ya...
  4. TFF umakini uongezeke kukagua viwanja na vigezo vyote hadi nyakati za mvua

    TFF umakini uongezeke kukagua viwanja na vigezo vyote na kutumika hadi nyakati za mvua Ukiangalia huu uwanja wa Meja Jen. Isamuhyo ulipo Mbweni Dar es salaam uwanja wa nyumbani wa JKT Tanzania bado kwa kiasi kikubwa hakuwa na vigezo vyote na athari yake sasa ndiyo hii kusababisha mechi...
  5. G

    Nimepigwa hard disk speed ni ndogo sana, tusiwe na haraka tuchukue muda kuzikagua kuepuka huu upigaji

    UPDATE / MREJESHO: Tatizo lipo kwenye case ni usb 2.0, nimetesti kuiunganisha moja kwa moja kwenye desktop speed ni nzuri MB 50 kwa sekunde, chief mkwawa kanishauri ninunue case ya usb 3.0 model ni HTS545032A7E380 Nilienda kununua hard disk ya GB 320 kwa elf 25 maalum kwajili ya kuifanya...
  6. J

    Kamati ya Miundombinu yawasili Singida kukagua miradi ya Sekta ya Ujenzi

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu ikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe.Selemani Kakoso (Mb) imewasili wilayani Itigi Mkoani Singida na kupokelewa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, leo tarehe 12 Machi 2024. Kamati hiyo ikiwa Wilayani hapo itakagua na kutembelea miradi ya...
  7. Malori Mabovu kuegeshwa Barabarani, mamlaka Inawajibika kukagua Hivi Vyombo vya usafirishaji?

    Barabara ya ubungo-Mbezi mwisho inaongoza kwa Kuegeshwa malori njiani, Malori yanasababisha foleni kubwa sanaa, Nashindwa kuelewa kuwa Mamlaka Huwa haifanyi ukaguzi wa magari haya? Yanaachwa yafanye safari zake yakiwa mabovu cha ajabu yanazima njiani, inakuwa kero kwa Watumiaji wa barabara...
  8. Bashungwa Awapa Siku 4 kwa TANROADS Kukagua Barabara na Madaraja Yote Nchini

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa siku nne kwa Mameneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) nchi nzima kufanya tathmini na ukaguzi wa madaraja, makalvati na barabara kuu zote ambazo zimekuwa zikifanyiwa matengenezo ya mara kwa mara na kuwasilisha taarifa hizo kwa wakuu wa Mikoa ili...
  9. W

    Umuhimu wa Kumbi za Starehe kuaanza kukagua Vitambulisho vya wateja Nchini

    Siku hizi idadi ya watoto wanaokwenda kumbi za starehe ni wengi mno. Na utawakuta wanakunywa pombe, kutumia madawa ya kulevya, kujiuza, kuvuta sigara, kufanya biashara haramu na mambo mengine yanayokiuka jamii. Tatizo hili tunaweza tusione madhara yake sasa hivi lakini ndo tunavyokuza kizazi...
  10. MBUNGE CONDESTER Atembelea Eneo Lenye Madini ya Sodalite Kukagua Utafiti Unaoendelea Kijiji cha Chindi

    MBUNGE CONDESTER Atembelea Eneo Lenye Madini ya Sodalite Kukagua Utafiti Unaoendelea Kijiji cha Chindi Mbunge wa Jimbo la Momba, Condester Sichalwe (Mundy) ameambatana na Afisa Madini mkazi Mkoa wa Songwe, Chone Malembo, ametumia mtubwi kuvuka mto Nkana kuelekea Kijiji cha Chindi kwenda...
  11. Kukagua vyanzo za utajiri kutawawezesha maafisa wa usalama kupata hela za kutumia christmas

    Serikali ilijenga nyumba Chanika halafu zikawa hazinunuliwi. Magufuli akaenda Chanika,akasema tutapunguza bei ya hizi nyumba ili watu wamudu kuzinunua. Jennister Mhagama ndiye alikuwa waziri mhusika wakati ule. Tatizo ,wanasema,kwa nini nyumba zile zilikuwa hazinunuliwi ni kwamba watu walipokuwa...
  12. Pamoja na kuhujumiwa CHADEMA yafika Hospitali ya Mkoa na kusalimia Majeruhi. Yachangia pesa

    Tulishasema mara kadhaa humu JF na Kwingineko, kwamba kwenye Dunia hii hakuna mahali kokote ambako Shetani aliwahi kumshinda Mungu . Pomoja na utitiri wa hujuma, ambazo ni hujuma za kijinga zilizojaa wivu wa kipumbavu , Chadema imefanikiwa kuingia kwenye Hospitali ya Mkoa wa Manyara kuwaona...
  13. Shemsa Mohammed aongoza Kamati ya Siasa ya mkoa wa Simiyu kuhitimisha kukagua utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi wilaya ya Busega

    Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu chini ya Mwenyekiti wake Ndg Shemsa Seif Mohammed leo tarehe 06/12/2023 imehitimisha ziara yake ya kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi 2020/2025 ndani ya Mkoa wa Simiyu, Wilaya ya Busega. Kwenye wilaya ya Busega, Jumla ya Miradi 6...
  14. Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Simiyu Imeendelea Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi Wilaya ya Bariadi

    KAMATI YA SIASA MKOA WA SIMIYU IMEENDELEA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI WILAYA YA BARIADI, HALMASHAURI YA BARIADI TC Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu chini ya Mwenyekiti wake Ndg Shemsa Seif Mohammed leo tarehe 04/12/2023 imeendelea na ziara yake ya kukagua...
  15. Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Simiyu Imeendelea Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM Wilaya ya Bariadi, Halmashauri ya Bariadi DC

    Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu chini ya Mwenyekiti wake Ndg Shemsa Seif Mohammed leo tarehe 25/11/2023 imeendelea na ziara yake ya kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi 2020/2025 ndani ya Mkoa wa Simiyu, Wilaya ya Bariadi, Halmashauri ya Bariadi DC Katika...
  16. Kamati ya Siasa Mkoa wa Simiyu Imeendelea Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM Wilaya ya Itilima

    Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu chini ya Mwenyekiti wake Ndg Shemsa Seif Mohammed leo tarehe 24/11/2023 imeendelea na ziara yake ya kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi 2020/2025 ndani ya Mkoa wa Simiyu, Wilaya ya Itilima Jumla ya Miradi 5 yenye thamani ya Mil 700...
  17. Ndugu Shemsa Mohammed Aongoza Kamati ya Siasa Mkoa wa Simiyu Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM Wilaya ya Meatu

    NDUGU SHEMSA MOHAMMED AONGOZA KAMATI YA SIASA MKOA WA SIMIYU KUKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM WILAYA YA MEATU Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu chini ya Mwenyekiti wake ndugu Shemsa Seif Mohammed tarehe 22/11/2023 imeendelea na ziara yake ya kukagua Utekelezaji wa...
  18. Mbunge wa Sengerema, Hamis Tabasamu amwaga chozi hadharani akiwa kwenye ziara ya kukagua changamoto za shule hasa vyoo na madarasa

    Ndugu wana jamii tafadhali pokea taarifa hiyo yenye uchungu mkubwa toka kwa Mhe. Tabasamu ametoa machozi hadharani, mwenye video tafadhari atuwekee hapa. Video ipo kwenye comments (Manjagata ameiweka) Hii ni taarifa halisi isipokuwa kwa kuwa sina video ndio mana sijaweka katika uhakika wake...
  19. UWT Taifa Wafanya Ziara ya Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM Igunga

    IGUNGA: "UWT TAIFA WAFANYA ZIARA YA KISHINDO, WANANCHI WASEMA ILANI INATEKELEZWA KWA VITENDO" Habari Picha: Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Zainab Shomari (MNEC) akiwa na Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa kwa nyakati tofauti kwenye Mikutano ya kuongea na Wanachama wa...
  20. Kata ya Mtungulu na kukagua Daraja la kisasa lilojengwa kwa mfumo wa mawe linalounganika Kata ya Mtungulu na Makao Makuu ya Wilaya ya Igunga.

    📍 Maguguni, Igunga Habari Picha: Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa kwa nyakati tofauti akimsikiliza Afisa Mtendaji wa Kata ya Mtungulu Bw. Fredrick Mihayo akiwasilisha taarifa ya maendeleo ya Kata inayochanganua utekekelezaji wa miradi ya maendeleo kwenye Sekta ya Elimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…