kukamata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CHADEMA kususia sherehe za Uhuru ni kukosa uzalendo. Hii ni kuthibisha kuwa hamfai kukamata Dola

    Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili...
  2. Kwa hii CCM inayopasuka na sisi tunavyojipanga kidigitali 2025 tukishiriki uchaguzi tunaweza kukamata dola

    Tunashuhudia Chama chetu kikisonga kidijitali na kusajili maelfu kwa mamilioni ya wanachama. Tunashuhudia Ccm ambayo imeanza kumeguka kati ya wapinga upigaji madili na wapiga madili. Kwa hali hii ya kisiasa ni wazi kuwa 2025 kama tutashiriki uchaguzi basi tutatoka na ushindi mkubwa.
  3. J

    China: Hatuna nia ya kukamata mradi wowote Afrika kwa sababu ya mkopo

    No project in Africa has been ‘seized’ by China due to inability to repay loans: Chinese Embassy in Uganda By Global TimesPublished: Nov 29, 2021 01:08 PM Updated: Nov 29, 2021 01:39 PM Aerial photo taken on July 11, 2020 shows the Karuma hydropower project under construction along the River...
  4. Mbunge wetu Gwajima tunaomba kujua imekuaje uhamiaji kukamata mama ntilie na machinga pale mbuyuni

    Wakuu jana nilishudia askari wa uhamiaji wakifanya ambush kukamata wafanya biashara wadogo wadogo pale mbuyuni. Picha lilianza baada ya bus moja likiwa na watu walio valia sare za uhamiaji kufika km vile picha ya MAFIA VS NINJA likisdinidkizwa na gari ndogo. Walipofika waliwaweka chini ya...
  5. Kuwafananisha Wachaga na Wakinga ni dalili ya kuchelewa kuijua Dunia

    Kwema wadau! Nianze kwa kusema nchi hii hatuendekezi Ukabila, hatuupendi, na hatuutaki. Hivyo mada zinazogusa Ukabila isichukuliwe kwamba ni uhamasishaji wa hisia za chuki za kikabila ndani ya Jamii. Kiasili mimi ni Mnyamwezi wa Urambo lakini nimeishi na kukulia Kilimanjaro. Ninadamu ya...
  6. Mbeya: Mkuu wa Mkoa amwagiza RPC kukamata madereva wanaokiuka sheria za usalama barabarani

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amemuagiza Kamanda wa Polisi mkoani humo, Urlich Matei kukamata madereva wote wanaokiuka sheria za usalama barabarani bila kujali iwapo ni madereva wa magari ya Serikali au la. Homera ametoa kauli hiyo leo Jumatatu Novemba 25, 2021 alipoongoza mamia ya wakazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…