“Nimeona hiyo karatasi lakini inamtaja mteja wangu Askofu Josephat Gwajima nitatoa taarifa rasmi saa 11 ya kisheria na nini kinafuata lakini ni mwaka wa kuchoka sana, kuchoka mwili na kuchoka roho pia lakini Mungu wa mbinguni atatutia nguvu”
Ni maneno ya Wakili Peter Kibatala ambaye ni wakili...