Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwalimu Nyerere hakuwahi kukamata wapinzani wake kisiasa kina Kambona kwa kiasi kikubwa kama hicho.
Si Mwinyi wala Mkapa wala Kikwete wala Magufuli combined waliwahi kukamata na kuwaweka mahabusu wapinzani wao wakiwemo viongozi wao wakuu kwa...
Wewe unayemshikilia Adv.Tundu Antipas Lissu bila kuzingatia Mahitaji yake ya Kiafya utawajibika binafsi kwa Madhara yeyote yatakayo mfika. Hakuna kosa lolote alilotenda. Yeye na Wenzake waachiwe Maramoja. Usalama wa Wakili Mwenzetu na wote waliokamatwa ni kipaumbele chetu.
Pia soma=> Lissu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.