kukamilisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Marcus Rashford kukamilisha dili la kutua Aston Villa

    Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford anatarajiwa kufanya vipimo vya Afya, leo Jumapili Februari 2, 2025 kuelekea kukamilisha mchakato wa kusajiliwa na Aston Villa kwa mkopo. Mchakato ukikamilika Aston Villa itamlipa 70% ya Mshahara wake wa sasa wa Pauni 350,000 kwa wiki huku...
  2. M24 Headquarters-Kigali

    Pre GE2025 CCM wamemaliza yote Dodoma, yanayofuata ni kukamilisha ratiba tu hadi 2030

    1. Hongereni CCM kwa Mkutano Mkuu Maalum hapa Dodoma. 2. Yanayofuata yote ni kukamilisha mechi za kwenye ratiba tu a.k.a stand up comedy. **Sasa naelewa kwann Wasanii wote walialikwa Dodoma
  3. S

    Kenya yageukia Falme za Kiarabu kwa ajili ya kupata fedha za kukamilisha ujenzi wa reli ya kisasa

    Kenya imeanza mazungumzo na Umoja wa falme za kiarabu ( UAE) kwa ajili ya kupata fedha za kukamilisha ujenzi wa reli ya kisasa ( SGR). Kenya imeamua kuigeukia UAE baada ya China iliyokuwa ikitoa fedha kwa ajili ya mradi huo kuamua kujitoa. Ujenzi wa reli ya kisasa inayokusudiwa kuunganisha...
  4. Stephano Mgendanyi

    Kamati Yapongeza Matumizi ya Mapato ya Ndani Kukamilisha Miradi Tunduma

    KAMATI YAPONGEZA MATUMIZI YA MAPATO YA NDANI KUKAMILISHA MIRADI TUNDUMA. Kamati ya kudumu ya Bunge ya TAMISEMI imeipongeza Halmashauri ya Mji Tunduma kwa kutumia mapato ya Ndani kujenga shule ya Sekondari ya Uwanjani. Pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe.Justin Lazaro...
  5. Roving Journalist

    Shilingi Bilioni 45.6 kutumika kukamilisha Miradi ya Dharura Mkoani Kagera

    Imeelezwa kuwa Serikali ya Awamu ya sita, inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa ushirikiano wa ufadhili wa Benki ya Dunia kupitia mpango dharura ( CERC PROJECTS), imetoa kiasi cha Shilingi Bilioni 45.6 kutekeleza miradi mitano (5). Miradi hiyo ni pamoja na Daraja la Kyanyabasa...
  6. Roving Journalist

    Waziri Ulega: TANROADS mnatakiwa kufanya kazi Usiku na Mchana ili kukamilisha miradi ya dharura iliyo chini yenu

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) kufanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha miradi ya dharura iliyo chini yake. Waziri Ulega ametoa maagizo hayo kwenye mkutano wake na Menejimenti na Mameneja wa TANROADS wa mikoa yote nchini uliofanyika mjini...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Mavunde Aahidi Kushirikiana na Waislamu Majengo Kukamilisha Ujenzi wa Msikiti

    MBUNGE MAVUNDE AAHIDI KUSHIRIKIANA NA WAISLAMU MAJENGO KUKAMILISHA UJENZI WA MSIKITI ▪️Achangia saruji tani 10 ▪️Awapongeza waumini kwa kujitolea ujenzi wa msikiti ▪️Aahidi kutafuta wadau wa kukamilisha ujenzi 📍Dodoma Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde amewaahidi waumini wa...
  8. J

    Ukali wa Mchengerwa kwa wakandarasi ni chachu katika kukamilisha miradi kwa wakati

    UKALI WA MCHENGERWA KWA WAKANDARASI NI CHACHU KATIKA KUKAMILISHA MIRADI KWA WAKATI. Na, John Swai Mhe. Mohammed Mchengerwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), ana msimamo thabiti kuhusu uwajibikaji na nidhamu ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo...
  9. Stephano Mgendanyi

    Bilioni Sita Kukamilisha Ujenzi wa Hospitali ya Manispaa ya Moshi, Bilioni 44 Vifaa Tiba

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imetoa fedha zaidi ya Bilioni 44 kwa ajili ya ununuzi wa Vifaa Tiba pamoja na Bilioni 1.8 kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Manispaa Moshi ambapo Hospitali hiyo ikikamilika itakua imegharimu Shilingi Bilioni...
  10. Eli Cohen

    Nani mwenye muendelezo wa hii habari ya wananchi Mwanza kuzuia watu waliovaa kiraia kukamilisha ukamataji?

    Jana kulisambaa video ikisemekana ni maeneo ya mwz. Wananchi wakilisonga na kuzuia gari kutoondoka na watu waliokamatwa hadi hapo ocs wa pamba aje.
  11. Eli Cohen

    CRDB wanazingua mno, inakuwaje wanachelewesha kumpatia mtu mkopo licha ya kukamilisha kila kitu.

    Yani wiki ya 3 hakuna mpunga wowote, ukiwauliza ni stori tu wanakupatia Sasa ni kwamba hawa watu hawana liquidity nzuri au nini, basi hata kama ni wanafanya analysis juu ya mkopaji haiwezekani ikawa muda wote huu. Imekuwa benki ya kiduanzi, simu hawapokei, Nyie wenzangu mnachomeshwaga...
  12. J

    KERO RITA badilikeni, toeni majibu ya uhakiki wa vyeti kwa wakati

    Habari wadau poleni na utekelezaji wa majukumu ya Kila siku katika harakati za kulijenga taifa Kero yangu ya leo inatoka kwa mamlaka inayohusika na usajili wa vizazi na vifo Tanzania RITA RITA wamekuwa Wana makosa yake Yale Kila mwaka yanayojirudia na hivyo kukwamisha baadhi ya watu kupata Haki...
  13. RICH-HARD

    Sasa unaweza kuingiza kipato kwa kufanya tasks ndogo itakayo kugarimu dk 2 pekee kukamilisha approximately 50$-500$

    Tarehe 14 mwez huu ndo ile siku ya kuvuna tulichopanda. Siku zimebaki chache usiache fursa hii ikupite ni rahisi sana huhitaji pesa wala hakuna atakaekuomba pesa Mahitaji Telegram Muda wako Dk 2 tu kufanya task ndogo Then subiri tarehe 14 August tufurahi pamoja. Nitakupa link lakin kabla...
  14. Dalton elijah

    Mkuu wa Polisi Kenya atoa siku 21 kukamilisha uchunguzi wa mauaji ya Kuare, Nairobi

    Kaimu mkuu wa polisi nchini Kenya Douglas Kanja amewahamisha maafisa wote wa kituo cha Kuare kiliko mita chache kutoka machimbo ya mawe ambako maiti zi;likutwa zimetupwa, ili kuruhusu uchunguzi huru kufanyika. "Ili kuhakikisha uchunguzi wa haki na usio na upendeleo, nimewahamisha maafisa hao...
  15. Stephano Mgendanyi

    Bilioni 3.5 Kiteto Kukamilisha Huduma za Afya Wilaya ya Kiteto, Manyara

    Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita amefika Shule ya Sekondari Ndedo na kukabidhi Kompyuta Tano (05), Printa (Printer), Projekta (Projector) na Mashine ya Photocopy mpya kwaajili ya kufundishia na kuwataka Wanafunzi kusoma kwa bidii kujiongezea Maarifa. Mhe. Edward Ole Lekaita...
  16. Roving Journalist

    PPAA mbioni kukamilisha Kanuni za Rufaa za Ununuzi wa Umma za Mwaka 2024

    Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) ipo katika hatua za mwisho za kupokea maoni ya Kanuni za Rufaa za Ununuzi wa Umma za Mwaka 2024 ili kuiwezesha Sheria ya Ununuzi Umma ya Mwaka 2023 kutekelezeka kwa ufanisi, ambapo pamoja na mambo mengine, Kanuni hizi zitatoa wigo mpana wa kuwasilisha...
  17. BigTall

    KERO Wanafunzi wa UDSM, tumezuiliwa kufanya mitihani kwa kushindwa kukamilisha Ada

    Lecturer anayefundisha kozi ya Research Methodologies akifukuza Wanafunzi ambao hawajakamilisha Ada. Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tumezuiwa kufanya mitihani ya Test One kwa kukosa vitambulisho vilivyo hai (Valid ID) kwa sababu ya kushindwa kumalizia Ada ya Semister ya Pili...
  18. K

    Bajeti ya Kukamilisha jiko

    Wakuu nataka kuanza kupika mwenyewe sasa nikiangalia sina kitu hata kimoja jikoni. Nataka niwe na jiko la kawaida tu. Naombeni wenye majiko mnipe essentials zote na gharama zake roughly..
  19. Stephano Mgendanyi

    Aysharose Mattembe: Serikali Ilete Fedha Kukamilisha Kituo cha Afya cha Ngimu

    "Je, ni lini Serikali itapeleka fedha za kutosha kukamilisha kituo cha Afya cha Ngimu katika Jimbo la Singida Kaskazini" - Mhe. Aysharose Mattembe, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida. "Nimuhakikishie Mbunge Aysharose Mattembe kuwa tayari tumeshakiingiza kituo cha Afya kwenye orodha ya vituo...
  20. Mr Dudumizi

    Waziri Bashungwa simamia na kukamilisha miradi ya barabara za Dar au ujiuzulu na kumpisha anayeweza

    Niaje waungwana Huyu Mhe. Innocent Bashungwa, alikuwa ni miongoni mwa mawaziri wachache sana niliowaheshimu sana katika baraza hili la mawaziri wa raisi Samia. Kila alipopelekwa alionesha kupamudu vizuri kiutendaji, na kiusimamiaji lakini sasa huku alipoletwa sasa hivi (wizara ya ujenzi)...
Back
Top Bottom