Imekuwa ni jambo la kawaida sana Kwa shirika la utangazaji la TBC, kukata matangazo mbashara ya Bunge na kutuletea matangazo mengine.
Kwa mfano hivi leo, weshakata mara mbili, matangazo mbashara ya Bunge na kutuletea matangazo mengine, likiwemo hili la sasa hivi la kuteletea semina ya viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.