Taarifa inasema Pamba imepigwa faini milioni 5 kwa kufanya vurugu, kwa kosa la maafisa wake kuingilia mazoezi ya klabu ya Simba siku moja kabla ya tarehe ya mchezo tajwa hapo juu katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.
Taarifa inasema pia walinzi wa Simba walisababisha vurugu pia kwa walinzi wake...
Wakuu,
Israel itakata rufaa kupinga hati ya Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ya kukamatwa kwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na waziri wa zamani wa ulinzi Yoav Gallant.
Majaji wiki iliyopita walitoa vibali kwa watu hao wawili pamoja na kamanda wa kijeshi wa Hamas Mohammed Deif, wakisema kuna...
TAARIFA KWA UMMA
Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa jana Novemba 08, 2024 akizungumza Waaandishi wa Habari jijini Dodoma alisema kuwa wagombea walioenguliwa wakate rufaa na kuwa rufaa hizo zitasikilizwa kwa haki.
Baada ya kauli hiyo ya Waziri jana, leo Novemba 09, 2024 tunapokea...
Katiba ya nchi inampa haki ya kuchagua na kuchaguliwa aliyetimiza umri wakupiga kura, hakina sharti la ajira. Maadamu wameweka sharti la ajira lisilokuwemo kwenye katiba mnabidi mwaelimishe wafuasi wenu kutoshiriki kwa wao wapigakura kwa kigezo cha wao kutokuwa na ajira.
Wakuu naomba kueleweshwa, nilishtakuwa Kwa kesi ya jinai na Jamhuri miaka miwili imepita sasa toka hukumu ilipotolewa na mahakama iliniachia huru baada ya kujiridhisha na ushahidi.
Imepita sasa miaka miwili, Jamhuri wamekata rufaa. Naomba mnieleweshe imekaaje hii ya rufaa imepita miaka miwili
Baada ya Mahakama Kuu Masjala ndogo Dar es Salaam kuifuta kesi ya mwanahabari Erick Kabendera, aliyokuwa ameifungulia kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Public Limited, ameibuka na kudai kuwa amepanga kukata rufaa kwenye Mahakama ya Rufani Tanzania baada ya...
Kwa uelewa wangu, ni kweli kabisa ukihisi kutotendewa haki unaenda ngazi nyingine kutafuta haki. Lakini Cha mhimu ni kuangalia mazingira.
Pia kuangalia kama sababu unazozitoa zina mashiko. Mimi siyo mwanasheria lakini namshauri Sweetbert aangalie uwezekano...
Kwa huku iliyotolewa leo tarehe 26/07/2024 je TLS na Serikali wanaweza kukata Rufaa? Endapo watakata rufaa uchaguzi utaendelea au utasogezwa mbele kusubiri maamuzi?
Hongera Mwambukusi kura yangu unayo baada ya kusikia matamanio yako ya utekelezaji s. 4.
Nimefurahi pia kwamba umekubali kuwa...
https://www.youtube.com/live/-6K3ZpUpoB8
Akiongea na Waandishi wa Habari leo, Peter Msigwa amesema kwamba Ushindi wa Sugu ulijaa makando kando na Mchezo Mchafu (Hakufafanua)
Ametangaza kukata rufaa kwenye Kamati Kuu ya Chama chake kupinga ushindi huo wa Sugu, bado haijajulikana kama Kamati Kuu...
Klabu ya Yanga inaweza kukata rufaa kwa baraza linalosimamia soka na kuripoti rasmi kesi ya upangaji matokeo chini ya kifungu XVI kifungu kidogo cha 3 kinachosema;XVI. FRAUD -ADMINISTRATIVE ERROR - MATCH FIXING. na Kama itathibitishwa basi Mamelodi inaweza kuondolewa kwenye michuano na Young...
Yaani ni jambo la ajabu sana kukataaa goal la wazi km hili how yaani var ikatae hii ni aibu sana kwa rais wa caf matsope sijui na team yake ya mamelod yaani ni aibu kwenye mpira wa africa kabisa.
Mimi nataka kujua haiwezekani kukata rufaa kama umedhulumiemwa kwenye hatua hizi za robo fainali...
Salaam Wakuu... mimi kama mwana yanga kindaki ndaki napendekeza yanga ikate rufaa kuhusu droo ya caf... sababu ni ugumu wa timu tuliopewa ukilinganisha na kikosi chetu.
Hili linakuja baada ya kuonena timu ya mamelod sundown ikiwa inafanya mazoezi kwa namna ya kipekee... kama
i. Kupiga...
Kabla hata sherehe za kufurahia Gekul kufutiwa kesi iliyomkabili , ile ya kumtumbukiza Chupa makalioni kijana mmoja huko Manyara haijaanza , Tayari Mawakili wa Mlalamikaji huyo wametangaza kukata rufaa kupinga Uamuzi wa DPP wa kuifuta kesi hiyo.
Tayari nyaraka zimeanza kukusanywa ili...
Siku moja baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa kumuhukumu kifungo cha miaka 22 Jela, Maria Ngoda Mkazi wa Mtaa wa Zizi la ng'ombe, Manispaa na Mkoa wa Iringa baada ya kumkuta na hatia ya kukutwa na ndoo yenye vipande 12 vya nyama ya swala kinyume na sheria, Kamati ya Utekelezaji ya...
Habari za wakati huu wadau wa elimu
Kama picha inavojieleza hicho ndicho kiasi ambacho nimepangiwa na HESLB kwa mwaka wa masomo 2023/2024....
Nahitaji ushauri, maoni, faida na hasara za kukata rufaa pamoja na utaratibu wake unavyokuwa
Sababu kuu ya kuomba kukata rufaa ni kutokana na mfumo wa...
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuliwahi kuandaliwa shindano la wenye sura mbaya Tanzania kwa upande wa wanaume. Wanawake walikataa hivyo likaandaliwa la wanaume tu.
Washiriki walikuwa wengi lakini waliofanikiwa kufika top 3 walikuwa ni Mzee Jangala, Remmy Ongala na Masoud Sura Mbaya.
Baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.