Mimi ni mkazi wa Mbagala, Mbande, na kwa kweli hali ya umeme katika maeneo haya ni ya kutisha. Maeneo yote yanayozunguka Chamanzi, Mbande, na Kisewe yanakumbwa na matatizo makubwa yanayohusiana na huduma ya umeme kutoka Tanesco.
Katika kipindi cha wiki mbili zilizopita, taa sita ndani ya nyumba...