Kuna kukatika maji haya maeneo wiki nzima kwa sasa na hakuna taarifa maalum kwa wateja kutoka Mwauwasa,kuna mdau yoyote anajua kinachoendelea?
Kilichopo ni kwamba unaweza stuka ghafla maji hamna na hujahifadhi.
Nafikiri kama kuna changamoto taarifa ziwekwe wazi na ratiba ifahamike ili kila mtu...
Stendi ya Mbezi Magufuli leo siku ya pili hakuna huduma ya maji, hali si hali kwani abiria wanapata tabu, na watu wanaofanya shughuli zao humu ndani na nje ya stendi kadhalika.
Hali imekuwa mbaya kiasi cha watu kuambiwa wajisaidie haja ndogo tu na si haja kubwa kutokana na kukosekana maji licha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.