Baada ya DAWASA kuamua kutotoa huduma ya maji kwa muda mrefu ambapo kwa baadhi ya maeneo tayari maji hayajatoka kwa zaidi ya miezi miwili na hamna aliewajibishwa kwa hili wala kiongozi wa serikali aliekemea, Tanesco nao wameanza kuonesha umuhimu wao kwa kuzima umeme mida ya jioni mara kadhaa na...
Naandika kwa masikitiko makubwa sana Leo ikiwa ni siku ya tatu maji hayatoki .
Hakuna taarifa yoyote ya katazo la maji kwa wananchi wa kata ya Nyasubi Kahama.
Tumejaribu kutoa taarifa tunajibiwa kiurahisi tu eti , Kuna matengenezo siku tatu kweli?
Na bado mwisho wa mwezi bili unakuja kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.