kukatika kwa umeme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Dalili ya mvua ni mawingu, Ni vyema TANESCO watuwekee mkeka wa mgao wa umeme tuzoee kabisa!

    Sifahamu shida ni nini Vimikatiko vya umeme visivyoeleweka vimekuwa vingi kiasi cha kujiuliza maswali iwapo tayari Tanesco wameshaanza kutoa dozi ya mgao wa umeme Wakati matamko ya viongozi mbalimbali yakitolewa ya kutokuwepo mgao wala usumbufu wowote wa umeme hata kwa misimu mitatu ya ukame...
  2. Zanzibar-ASP

    Hivi kweli suluhisho la miundombinu mibovu inayopelekea kukatika katika ovyo umeme ni kwenda kununua umeme nje ya nchi? Tuweni serious kidogo

    Sote tunataka nchi yetu isonge mbele lakini tunachoka na kuumia mnoo tunapoona suala la umeme hapa Tanzania kwa zaidi ya miaka 30 mfululizo likitumika kama kichaka cha upigaji wa watu fulani fulani na kuchezewa sarakasi za ajabu na wanasiasa. Kwa muda mrefu sababu za kukosekana kwa umeme wa...
  3. Zanzibar-ASP

    Hivi kweli kaskazini kuna katika katika umeme kuliko mikoa mingine kama Dar na Mwanza? Dalili ni kama tunapigwa live!

    Rais ametoa tamko rasmi kuwa serikali imesaini (itasaini?) mkataba wa kununua umeme kutoka Ethiopia ili kuondoa kama sio kupunguza kabisa tatizo la umeme kukatika katika ovyo katika mikoa ya kaskazini. Huenda labda sina taarifa sahihi, lakini sote tunajua kukatika katika ovyo kwa umeme kupo...
  4. Hismastersvoice

    Atakaye ahidi kujenga bwawa kubwa la umeme mto Msimbazi ili kumaliza tatizo la umeme Dar es Salaam nitampa kura zangu zote

    Hivi sasa tatizo la kukatikakatika umeme jijini Dar es Salaam limekuwa kubwa, hii huenda inatokana na umbali wa bwawa la Mwalimu Nyerere lilipo kitu chochote kikisafiri mbali huhitaji mapumziko njiani, hivyo ni vizuri kujenga bwawa hapa Dar es Salaam
  5. Mfugaji123

    KERO TANESCO wanakata umeme karibu Mara 30 kwa siku huku Yombo Vituka

    Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwa na tatizo la mara mara la kukatika umeme katika maeneo ya Yombo Vituka, jijini Dar Es Salaam. Kwa siku umeme unaweza kukatika hata mara 30 . Umeme ndani ya saa 1 unaweza kukatika hata mara 5. Hali hii imesababisha kukwama kwa shughuli nyingi za kiuchumi...
  6. M

    KERO Kwanini TANESCO hamtoi taarifa juu ya kukatika kwa umeme mpaka pale watumiaji wa huduma zenu wanapolalamika katika mitandao?

    Yaani hili shirika la umeme nchini Tanzania huwa linajiamulia tu kukata umeme pasi na kutanguliza taarifa kwa watumiaji wa huduma zake. Hutaona afisa habari wa shirika hili akitoa taarifa mpaka pale watumiaji wanapolalamika katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
  7. Mwachiluwi

    KERO TANESCO mkikata umeme jioni rudisheni kwa wakati

    Habari zenu TANESCO mkikata umeme asubuhi tunaomba rudisheni umeme saa kumi na mbili wengine tunaishi mazingira mabaya sana ukikaa vibaya umelala na nyoka kitandani na mna jifunika pamoja kwenye shuka ukitingisha tu kwa uwoga umepigwa na nyoka acheni izo mambo Af ilo treni la umeme nao a mda...
  8. C

    KERO Tanesco Shinyanga kuna nini umeme kukatika katika kila baada ya nusu saa?

    Tangu jana kuna maeneo umeme umekuwa ukikatika katika na vipindi virefu bila kuwa na umeme. Hali hii inatuletea usumbufu sana na kuturudisha nyuma kiuchumi hususan tunaoishi kwa kutegemea umeme. Vyakula vilivyohifadhiwa kwenye majokofu vinaharibika,vifaa vya umeme pia vinaharibika.Hakuna tamko...
  9. Nyendo

    KERO Tabora Manispaa, hasa Ipuli umeme unakatwa kila siku bila mpangilio, TANESCO tuambueni kama kuna mgao tujue

    Tabora Manispaa umeme unakatika sana bila mpangilio na hakuna taarifa yoyote, wanakata mchana na usiku, mjini kati, Ipuli, Isevya na maeneo mengine umene unakatwa ovyo ovyo. Siku haiishi bila kukatika umeme, tena zaidi ya mara moja kuna siku umeme unashinda siku nzima haupo, na hakuna taarifa...
  10. maroon7

    Baada ya DAWASA kukiwasha, sasa Tanesco nao wameanza kubip

    Baada ya DAWASA kuamua kutotoa huduma ya maji kwa muda mrefu ambapo kwa baadhi ya maeneo tayari maji hayajatoka kwa zaidi ya miezi miwili na hamna aliewajibishwa kwa hili wala kiongozi wa serikali aliekemea, Tanesco nao wameanza kuonesha umuhimu wao kwa kuzima umeme mida ya jioni mara kadhaa na...
  11. Nyendo

    Dkt. Dotto Biteko: Mahitaji ya umeme Nchini Tanzania sio anasa bali ni jambo la lazima

    Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko amesema mahitaji ya umeme Nchini Tanzania sio anasa bali ni jambo la lazima kwasababu kuna uhusiano wa moja kwa moja wa maendeleo ya Wananchi na uwepo wa umeme. Dkt. Biteko amesema hayo leo May 31,2024 wakati wa uzinduzi wa kituo cha kupokea...
  12. A

    KERO Wakazi wa Morogoro Mkuyuni umeme unakatwa mara nyingi kwa wakati mmoja kila siku, tumechoka kuunguliwa vitu

    Wakazi wa wilaya ya Morogoro eneo la Mkuyuni tumewakosea nini, kila siku iendayo kwa Mungu lazima mkate at least sekunde mbili au tatu na mida yenu ya kukata ni kuanzia saa mbili hadi nne. Mmeshatuunguzia vitu hadi imetosha sasa, yaani inakuwa kero. Ni service gani mnafanya kila siku muda ule...
  13. Mabula marko

    SoC04 Tuuvune na kuuhifadhi umeme kwa matumizi ya baadae ili kupunguza tatizo la mgao na kukatika kwa umeme katika nchi yetu

    TUUVUNE NA KUUHIFADHI UMEME KWA MATUMIZI YA BAADAE ILI KUPUNGUZA TATIZO LA MGAO NA KUKATIKA KWA UMEME KATIKA NCHI YETU Utangulizi Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazojitegemea...
  14. P

    Leo nilijipanga kuandika message ya kuipongeza Serikali kwa kumaliza tatizo la kukatika kwa umeme, nashangaa kimya

    Ni kama wiki hivi tumekuwa tukifurahia umeme hata kipindi hiki cha mvua zinazoambatana na upepo. Nikasema, hapa sasa serikali imemaliza hii kero ya kukatika umeme. Nikapanga jumapili hii basi niandike message yangu kuipongeza serikali. Kabla sijaandika nikasema niangalie kama umeme upo. Si...
  15. mtwa mkulu

    Mamelody yaamua kujizatiti na kukatika kwa umeme uwanja wa taifa

  16. TANESCO

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu. Tunawaomba mzingatie yafuatayo ili kurahisisha ufafanuzi na ufumbuzi wa tatizo au taarifa husika; 1. ENEO HUSIKA...
  17. Roving Journalist

    Masanja Kadogosa: Kukatika kwa umeme hakutakwamisha utendaji wa Reli ya SGR

    Mkurugenzi wa Shirikla la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa wakati anazungumza na kutoa maelekezo kabla ya safari ya kutokea Dar - Moro mapema leo, Februari 26, 2024. Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza majaribio ya Treni ya Umeme ya Kisasa ya (SGR) kutoka Mkoani Dar es Salaam hadi...
  18. Roving Journalist

    Dkt. Biteko: Dkt. Samia anakerwa na kukatika kwa Umeme, ni lazima tuzalishe umeme zaidi

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema Serikali imeamua kwa dhati kuendeleza vyanzo vya umeme wa Jotoardhi ili kuhakikisha nchi inazalisha umeme wa kutosheleza mahitaji ya wananchi wake. Amesema chanzo hicho cha umeme kitaongeza nguvu katika vyanzo vilivyopo vya Maji...
  19. Determinantor

    Ni aibu sana kuendelea kukatika kwa maji na umeme kwa kisingizio cha ukame

    Ni Aibu Sana kuendelea kukatika kwa maji na umeme kwa kisingizio cha ukame. Tuna week ya tatu sasa mvua kubwa zinanyesha kila mahali nchini halafu unashangaa Dar haina maji. Nimepita mikoani mvua kubwa sana zinaendelea kunyesha lakini umeme unakatwa Tu. Huu ni Ujuha na kiwango kikubwa cha...
  20. A

    DOKEZO Kukatika ovyo kwa umeme hasa msimu wa senene Muleba

    Kumekuwa na changamoto ya kukatika Kwa umeme ovyo au umeme kuwa mdogo sana kipindi cha msimu wa senene. Hali hii inatokea sana wakati wa usiku ambapo muda huo ndo wakazi wengi wa Muleba wanategemea huo umeme Kwa ajili ya kutega senene kama chanzo chao cha kipato. Kabla ya msimu huu wa senene...
Back
Top Bottom