Sifahamu shida ni nini
Vimikatiko vya umeme visivyoeleweka vimekuwa vingi kiasi cha kujiuliza maswali iwapo tayari Tanesco wameshaanza kutoa dozi ya mgao wa umeme
Wakati matamko ya viongozi mbalimbali yakitolewa ya kutokuwepo mgao wala usumbufu wowote wa umeme hata kwa misimu mitatu ya ukame...
Sote tunataka nchi yetu isonge mbele lakini tunachoka na kuumia mnoo tunapoona suala la umeme hapa Tanzania kwa zaidi ya miaka 30 mfululizo likitumika kama kichaka cha upigaji wa watu fulani fulani na kuchezewa sarakasi za ajabu na wanasiasa.
Kwa muda mrefu sababu za kukosekana kwa umeme wa...
Rais ametoa tamko rasmi kuwa serikali imesaini (itasaini?) mkataba wa kununua umeme kutoka Ethiopia ili kuondoa kama sio kupunguza kabisa tatizo la umeme kukatika katika ovyo katika mikoa ya kaskazini.
Huenda labda sina taarifa sahihi, lakini sote tunajua kukatika katika ovyo kwa umeme kupo...
Hivi sasa tatizo la kukatikakatika umeme jijini Dar es Salaam limekuwa kubwa, hii huenda inatokana na umbali wa bwawa la Mwalimu Nyerere lilipo kitu chochote kikisafiri mbali huhitaji mapumziko njiani, hivyo ni vizuri kujenga bwawa hapa Dar es Salaam
Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwa na tatizo la mara mara la kukatika umeme katika maeneo ya Yombo Vituka, jijini Dar Es Salaam.
Kwa siku umeme unaweza kukatika hata mara 30 . Umeme ndani ya saa 1 unaweza kukatika hata mara 5. Hali hii imesababisha kukwama kwa shughuli nyingi za kiuchumi...
Yaani hili shirika la umeme nchini Tanzania huwa linajiamulia tu kukata umeme pasi na kutanguliza taarifa kwa watumiaji wa huduma zake.
Hutaona afisa habari wa shirika hili akitoa taarifa mpaka pale watumiaji wanapolalamika katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Habari zenu TANESCO mkikata umeme asubuhi tunaomba rudisheni umeme saa kumi na mbili wengine tunaishi mazingira mabaya sana ukikaa vibaya umelala na nyoka kitandani na mna jifunika pamoja kwenye shuka ukitingisha tu kwa uwoga umepigwa na nyoka acheni izo mambo
Af ilo treni la umeme nao a mda...
Tangu jana kuna maeneo umeme umekuwa ukikatika katika na vipindi virefu bila kuwa na umeme.
Hali hii inatuletea usumbufu sana na kuturudisha nyuma kiuchumi hususan tunaoishi kwa kutegemea umeme.
Vyakula vilivyohifadhiwa kwenye majokofu vinaharibika,vifaa vya umeme pia vinaharibika.Hakuna tamko...
Tabora Manispaa umeme unakatika sana bila mpangilio na hakuna taarifa yoyote, wanakata mchana na usiku, mjini kati, Ipuli, Isevya na maeneo mengine umene unakatwa ovyo ovyo.
Siku haiishi bila kukatika umeme, tena zaidi ya mara moja kuna siku umeme unashinda siku nzima haupo, na hakuna taarifa...
Baada ya DAWASA kuamua kutotoa huduma ya maji kwa muda mrefu ambapo kwa baadhi ya maeneo tayari maji hayajatoka kwa zaidi ya miezi miwili na hamna aliewajibishwa kwa hili wala kiongozi wa serikali aliekemea, Tanesco nao wameanza kuonesha umuhimu wao kwa kuzima umeme mida ya jioni mara kadhaa na...
Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko amesema mahitaji ya umeme Nchini Tanzania sio anasa bali ni jambo la lazima kwasababu kuna uhusiano wa moja kwa moja wa maendeleo ya Wananchi na uwepo wa umeme.
Dkt. Biteko amesema hayo leo May 31,2024 wakati wa uzinduzi wa kituo cha kupokea...
Wakazi wa wilaya ya Morogoro eneo la Mkuyuni tumewakosea nini, kila siku iendayo kwa Mungu lazima mkate at least sekunde mbili au tatu na mida yenu ya kukata ni kuanzia saa mbili hadi nne.
Mmeshatuunguzia vitu hadi imetosha sasa, yaani inakuwa kero. Ni service gani mnafanya kila siku muda ule...
Anonymous
Thread
changamoto ya umemekukatikakwaumeme
mgao wa umeme
shida ya umeme
tanesco
TUUVUNE NA KUUHIFADHI UMEME KWA MATUMIZI YA BAADAE ILI KUPUNGUZA TATIZO LA MGAO NA KUKATIKA KWA UMEME KATIKA NCHI YETU
Utangulizi
Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazojitegemea...
Ni kama wiki hivi tumekuwa tukifurahia umeme hata kipindi hiki cha mvua zinazoambatana na upepo. Nikasema, hapa sasa serikali imemaliza hii kero ya kukatika umeme.
Nikapanga jumapili hii basi niandike message yangu kuipongeza serikali. Kabla sijaandika nikasema niangalie kama umeme upo. Si...
Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu.
Tunawaomba mzingatie yafuatayo ili kurahisisha ufafanuzi na ufumbuzi wa tatizo au taarifa husika;
1. ENEO HUSIKA...
Mkurugenzi wa Shirikla la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa wakati anazungumza na kutoa maelekezo kabla ya safari ya kutokea Dar - Moro mapema leo, Februari 26, 2024.
Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza majaribio ya Treni ya Umeme ya Kisasa ya (SGR) kutoka Mkoani Dar es Salaam hadi...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema Serikali imeamua kwa dhati kuendeleza vyanzo vya umeme wa Jotoardhi ili kuhakikisha nchi inazalisha umeme wa kutosheleza mahitaji ya wananchi wake.
Amesema chanzo hicho cha umeme kitaongeza nguvu katika vyanzo vilivyopo vya Maji...
Ni Aibu Sana kuendelea kukatika kwa maji na umeme kwa kisingizio cha ukame. Tuna week ya tatu sasa mvua kubwa zinanyesha kila mahali nchini halafu unashangaa Dar haina maji.
Nimepita mikoani mvua kubwa sana zinaendelea kunyesha lakini umeme unakatwa Tu. Huu ni Ujuha na kiwango kikubwa cha...
Kumekuwa na changamoto ya kukatika Kwa umeme ovyo au umeme kuwa mdogo sana kipindi cha msimu wa senene. Hali hii inatokea sana wakati wa usiku ambapo muda huo ndo wakazi wengi wa Muleba wanategemea huo umeme Kwa ajili ya kutega senene kama chanzo chao cha kipato.
Kabla ya msimu huu wa senene...