Ni siku ya tatu sasa umeme unakatika bila sisi wateja kujulishwa kama kuna matengenezo yoyote yanaendelea.Nashauri kama kuna marekebisho yoyote yanayofanyika ni vyema tukataarifiwa kwenye vyombo kwamba eneo flani litakosa umeme kwa muda flani ili kupisha maboresho katika miundombinu ya umeme...