kukatisha ruti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania KERO Kasumba ya kukatisha ruti za daladala yageuka kero kubwa jijini Mbeya

    Kwa msafiri anayepanda daladala kutoka Uyole, Nanenane na maeneo mengine ya ukanda huo kuelekea Stendi Kuu ya Mabasi katika eneo la Uhindini, safari ambayo ilipaswa kuwa ya moja kwa moja imegeuka kuwa kero ya kila siku. Kwa muda sasa, baadhi ya abiria wamekuwa wakilalamikia tabia ya baadhi ya...
  2. JamiiForums Tanzania KERO LATRA tumsaidie hili la Daladala kukatisha ruti Mbeya

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) tunaomba mtusaidie katika hili maana sasa imekuwa mazoea Kwa madereva daladala. Daladala za Nsalaga kwenda Stand kuu zimekuwa zinakatisha ruti kwa kuishia Mwanjelwa badala ya kufika Stand Kuu. Ukiachana na hizo daladala za Nsalaga Kuna hizi za kutoka...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Abiria tunapata usumbufu mkubwa daladala Dodoma kukatisha ruti na kufaulisha abiria, mamlaka dhibiti kero hii

    Bado kuna shida kubwa sana ya madereva wa daladala kugeuzia njiani na kufaulisha abiria kwenye gari nyingine. Imekuwa kero na usumbufu mkubwa sana hasa kwa daladala zinazotokea Mipango kuelekea Mjini. Serikali husika itusaidie kuweka askari kwenye vituo mbalimbali maana kufaulisha abiria sio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…