Mheshimiwa huu ni wakati wa wewe kuitisha Mkutano na kufafanua mambo ya Kimataifa ikiwamo usitishwaji wa Msaada kwa Tanzania. Nataarifiwa EU nao wapo mbioni.
Anyulise Mwamkisu (49) ameuawa kwa kukatwa na mapanga, katika uwanja wa mpira wa miguu wa Kijiji cha Mofwile Halmashauri ya Wilaya ya Kyela, Mkoa wa Mbeya, kulikokuwa na Ligi ya mpira kati ya Nyuki FC na Mofwile FC na kuibuka kwa vurugu baada ya timu moja kushinda goli na kukataliwa, hali...
Wana Jamvi nimeskia kwamba kule Tabora, Watu watatu wameuawa na kisha kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali wakituhumiwa kumuua Sagali masanja kwa kumkatakata na panga kisha kumkata titi la kushoto pamoja na sehemu za siri na kuondoka nazo tukio lililotokea kijiji cha Mahene Wilaya ya...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mohamed Mchengerwa, (TAMISEMI), amesema kinachofanyika kuhusu ofisi za watendaji kudaiwa zimefungwa ni propaganda kwa kuwa zilikuwa wazi muda wote na wagombea walipaswa kurejesha fomu za maombi.
Aidha,amesema kanuni zina ruhusa...
Huu ni msimu wa siasa za uchaguzi. Ni katika msimu kama huu kunakuwa na maamuzi mengi ya jazba na mihemko kukomoana na visasi.
Hali hiyo hupelekea baadhi ya watu kuhama vyama na kujaribu kkukimbilia mahali ambako atapata jukwaa na wakati mwingine akilikosa Hilo jukwaa huanza kuleta nongwa...
⚡️BREAKING:
Wizara ya Ujasusi ya Iran imetoa orodha ya magaidi wa Israel wanaotakiwa wakiwa maiti.
Just like Israel, now Iran's Intelligence Ministry releases a list of individuals it want to eliminate.
Mtoto wa miaka minne jinsi ya kiume amekutwa ametekelezwa nyuma ya nyumba kwenye makazi ya watu Kisasa majumba 300 baada ya kukatwa mkono wa kulia na sehemu za siri na watu wasiojulikana na kutokomea navyo kusikofahamika.
Siku kadhaa hapo nyuma yameshatukia matukio kama haya mawili ambayo...
Wakuu amani ya Mungu iwe nanyi.
Kumekua na taharuki kwa wakazi wa Temeke, Tandika, Mbagala na Vikindu kwa ujumla wake.
Imejitokeza sintofahamu ya watoto kupotea na kukutwa wakiwa wamefariki huku miili yao ikiwa haina baadhi ya viungo.
Majuma kadhaa yaliyopita maeneo ya Mbagala Mgeni nani...
Nimewahi kumuona Mhe. Waziri wa Viwanda na Biashara akielezea utaratibu wa kupata leseni za biashara kwa mwaka 2024/25. Je leseni zitakatwa toka Wizarani au kuna utaratibu utakaotangazwa na Wizara?.
Wakuu,
Kuna watu mpaka unafikiria mtu kama huyu kafikaje bungeni, maana ni zaidi ya weupe kichwani, watupu kabisa!
Kodi zote hizi mnazotuumiza nazo wananchi bado unataka ziongezwe nyingine kwenye line za simu?
Hii siyo ya kukalia kimya!
Dunia inapiga kasi kwenye digidali lakini Viongozi wetu...
Mtu analipwa laki 8 kwa mwezi baada ya makato yote halafu anachukua mkopo wa milioni 10+ na anaanza kukatwa karibu laki 4 kwa miaka mitano.
Hizi akili watu wanatoa wapi? Hela zenyewe hamna cha maana mnafanya na matokeo yake mnasumbua watu kwa kuombaomba na mnapoteza ufanisi kazini...
Ngoja GENTAMYCINE niendelee kukagua Nguo zangu Makabatini kama kuna ambazo zinafanana nao, ili Hasira zao za Kupunjwa kwa 'Mawokoto' yao Kiholela zisije Kuniangukia na nikajuta
Karibuni Ukumbini Kwao MZIZIMA SERVICE PARK Cow Way ili tutizame Mpira pamoja katika Screen yao Kubwa ya Tambara Kuu...
Msiwakate watoto vimeo kwa sababu zozote, inaweza pelekea mtoto kupoteza maisha kutokana na kuvuja damu; kama mtoto ana shida yoyote muone daktari atakushauri tiba sahihi.
Jere Van Dyk alikamatwa na kushikiliwa na kundi la Taliban kwa siku 45 katika eneo lisilo la mtu kati ya Afghanistan na Pakistan, ambapo alikabiliwa na hukumu ya kunyongwa.
Kadiri matukio ya kutisha yanavyoendelea, watu kunyakuliwa na kundi la Taliban na kuuawa kwa kukatwa kichwa lazima iwe...
Tunaenda kuongeza mapato, na kuongeza ufanisi kwa ujumla wake
Sasa kupinga bila sababu za msingi na kukazania na uzushi tuuu hii inaleta ukakasi,
Kama ni mapungufu si tuyarekebishe tu?
Kwanini kumkataa mwarabu moja kwa moja?
Angekuwa mzungu tungepinga?
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Burian amesema baada ya mazungumzo ya muda mrefu, Isaka Rafael ambaye ni Baba wa Watoto Mapacha waliofariki katika Kituo cha Afya Kaliua na kuzua taharuki baada ya pacha mmoja kuondolewa na jicho na ngozi ya paji la uso macho, amekubali kushirikiana na...
SUALA la Luhaga Mpina kukatwa jina lake kwenye nafasi ya mgombea wa NEC Mkoa wa Simiyu kwa mwaka huu wa 2022 kuwa amekosa sifa ya kuteuliwa limetuachia maswali mengi hasa sababu 11 zinazodaiwa ndio zimechangia kuondolewa kwenye mchuano huo.
1. Kuhoji bungeni kuhusu madai ya fedha za makinikia...
Katika vitu ambavyo huwa naviona haviko sawa kwa watumishi, ni hili la Mtumishi kutakiwa kusubiri mpaka makato yote ya mkopo yaishe ndio amalize mkopo wake au kama anataka kumaliza mkopo wake mapema, basi ni kwa mfanyakazi husika kulipa kwa mkupuo mmoja deni lote lililobaki(outstanding balance)...
Mtu huyo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 hadi 35 aliokotwa hapo, huku pembeni yake kukiwa na chupa yenye pombe.
Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia leo na kuthibitishwa na wenyeviti wa mitaa hiyo miwili huku chanzo cha mauaji hayo kikiwa bado hakijajulikana na upelelezi wa kubaini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.