kukimbia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chizi Maarifa

    Kuna wakati unamfikiria Babu yako unamwona alikuwa mpuuzi kukimbia

    Umewahi waza kama mababu zetu wengi wangekubali kwenda utumwani kwa sasa pengine nawe ungekuwa Marekani. Kwa sasa umebaki una manga manga tu hapa Tz huna mbele wala nyuma. Utasema ooooh...wengine walikufa. Sawa walikufa.sasa huyu babu yako ambaye amebaki alifanya nini? Hamna mashamba makubwa...
  2. Dalali wa mjini

    Maisha ni magumu lakini sio kukimbia familia (Damu Yako)

    Habari wakuu wangu. Hapa mtaani kwangu Bana Kuna jamaa kakimbia watoto wake wawili pamoja na mama mtoto wake. Kwa Sasa namuona dada anapitia hali mbaya Sana ya kiakili. Wee jamaa kama upo humu umezingua Sana unaacha vipi watoto wako? ni afadhali ungewaaga Tu Kwamba unaenda kutafuta Maisha...
  3. T

    Ni kwa nn viongozi wastaafu wote wa chadema taifa wanaishia kukimbia

    Inavyoonekana huko ndani ya chadema kuna mengi tusiyoyajua na yasiyosemwa maana karibia wastaafu wao wengi wa kitaifa huishia kukikimbia. Rejea kina Arfi Slaa Zito Sumaye Lowasa Safari Nk
  4. grandMullah23m

    Mpango wa kukimbia kodi 2025

    Salaam wanajukwaa...katika pitapita zangu na maongezi na fundi namna ya kuanzisha ujenzi wa msingi,ameniorodhesha mkeka mrefu🥲..ambapo Kuna kipengele cha wall puty/chokaa kg 20..ambayo bei ni 20000@..naomba kujua matumizi yake kwenye hatua za awali za ujenzi wa msingi...
  5. G

    Shule ya Maandamano ipo Mbeya, Haya ni maandamano yaliyowahi kutikisa vyombo vya ulinzi mpaka wakuu wa mikoa kukimbia.

    2011 kulikuwa na Maandamano ya Machinga, Askari wa FFU baadhi waliuawa na mabomu ya machozi yaliisha, Muda huo Kikwete yupo njiani kuelekea Mbeya, Ilibidi watumwe JWTZ kutuliza hali (hakukuwa na majibishano yoyote na JWTZ) Kwenye maandamano mengine ya Machinga, hali ilikuwa mbaya, Mkuu wa mkoa...
  6. Jackson News

    Zinauzwa Bukta Fupi za kiume na wanauke kwa michezo 2-in-1 kwa Ufukweni na Kukimbia

    Bei: TZS 33,111.39 (Original: TZS 57,089.89, punguzo la 42%) Bonyeza na Nunua Sifa kuu: Muundo wa 2-in-1: Suruali za nje za kukimbia na suruali za ndani za compression kwa msaada wa ziada. Kupumua na Kaukaji Haraka: Huzuia joto na inakaukaji haraka baada ya kuingia maji, hivyo inafaa kwa...
  7. Mindyou

    Video: Baada ya Assad kukimbia nchi, waasi watua kwenye kasri lake la kifahari na kuanza kusheherekea

    Wakuu, Muda mfupi baada ya kuthibitisha kuwa waasi wamemtoa Assad madarakani na Rais huyu kukimbia nchi, video za waasi wakiwa ndani ya kasri lake zimeanza kuibuka. Huyu jamaa alikuwa anakula maisha kweli kweli na pengine ndo maana walikuwa wanataka kumtoa. Video hizi zinasambaa sana X...
  8. chiembe

    Hivi Law School siku hizi wanafundisha na somo la kutoka mbio (kukimbia)?

    Kwa wenye uelewa, sisi wengine tulifanya Bar exam Mahakama Kuu Arusha. Cc:Lusako
  9. Yoda

    Kwa mtazamo wa Polybius huenda tatizo kubwa la Afrika ni kujaribu kurukia Demokrasia, kukimbia kabla ya kutambaa

    Polybius, Mwanafilosofia wa kale wa Ugiriki na baadaye mfungwa wa Roma kisiasa aliyeishi karne ya pili kabla ya Kristo alichukua muda mrefu kujifunza mifumo ya serikali na historia yake katika nchi yake ya Ugiriki na Utawala wa Roma akaja na nadharia maarufu ya "anacyclosis". Katika nadharia ya...
  10. R

    Tetesi: Rais Nyusi wa Msumbiji atoroka kwa helcopter kukimbia maandamano ya wizi wa kura

    habari hizi ni za kweli? Kutoka Tweeter (x)......@lifeof mshamba MaCCM yaliwapa Teknick ya kuiba kura huko Msubiji bahati Mbaya Raia wa Msubiji Wanajitambua Sasa hivi Wanachinjana Huko' Chama Tawala sasa kinataka Waunde Serikali ya Mseto Raia Wamegoma Wanataka Ushindi Wao.. Mambo ya Serikali...
  11. Magical power

    Kukimbia matatizo yako ndio hukuongezea matatizo zaidi😢

    KUKIMBIA MATATIZO YAKO NDIO HUKUONGEZEA MATATIZO ZAIDI😢 Huyo mwanaume katika picha aliamua kujiua kwa lengo la kukwepa madeni anayodaiwa, pindi alipoamua kujirusha kutoka jengo refu la ghorofa mwisho wa siku akafikia katika hiyo gari aina ya BMW ya mtu na kunusurika kifo, hivyo kuongeza deni...
  12. Magical power

    Nilitamani sana nione miujiza ya Mafuta ya upako na udongo wa upako miujiza ya uokoaji na uponyaji pale Kkoo.

    Nilitamani sana nione miujiza ya Mafuta ya upako na udongo wa upako miujiza ya uokoaji na uponyaji pale Kkoo. Kadhalika na wale masharifu feki na wazee wanaodai wanamvuta mpenzi alioko mbali wakawavute na ndugu zetu kutoka katika janga lililowakuta.
  13. A

    Israel Ameamua Kukimbia Lebanon

    Habari ndio hio Israel wanasingizia watasimamisha vita North kwa mda kutokana na UN itatoa Resolution kuhusu Gaza. Swali toka lini Israel ilifata sheria za UN. Hakuna zaidi ya moto wa Hezbullah unatisha wameona wakimbia kijanja huko Lebanon Habari ndio hio Al Arab TV inasema hio ni Breaking...
  14. G

    Wapalestina waneemeka na chakula kingi cha msaada wa umoja wa mataifa baada ya walinzi wa magodauni ya hamas kulikimbia jeshi la Israel

    moved
  15. Roving Journalist

    Kituo cha Demokrasia (TCD) na Wadau wanajadili Tathimini ya Hali ya Demokrasia nchini, leo 19/09/2024

    https://www.youtube.com/live/N31EQ_oXGJw?si=_5ZvcnFVTooLwMeb Mwenyekiti wa Chadema Taifa na mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe siku ya leo ameongoza uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya demokrasia nchini kwa mwaka mmoja uliopita, iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). Tukio...
  16. R

    Alichosema DC Longido kimekaa kimkakati, amezima mjadala wa KM NCHIMBI kukimbia mdahalo..wapinzani endeleeni kuchezeshwa ngoma

    Viongozi wa upinzani nchini wamekuwa wanafiki sana. DC Longido amewaeleza madiwani kwamba kama siyo serikali wasingepita bila kupingwa. Huu ndio ukweli na hakuna asiyejua. Lakini maneno haya wanataka kuyachukulia kama vile DC ana kiburi na ubabe wakati ukweli haya ndiyo maneno wamekuwa...
  17. safuher

    Pre GE2025 Kukimbia kwa Dkt. Nchimbi haikuwa sababu ya vyama vingine kususia mdahalo

    TUFANYE KWAMBA WOTE WALIKUBALI WATASHIRIKI MDAHALO HUU. SWALI Je kulikuwa na makubaliano yoyote kwamba kama hatoshiriki Dr nchimbi basi waliobaki wote wasishiriki ? mjadala huu haukuwekwa maalumu kwa ajili ya Dr nchimbi,bali ni wananchi na makatibu wa vyama. kitendo cha makatibu wakuu...
  18. Determinantor

    Pre GE2025 Naunga mkono Katibu Mkuu wa CCM kukimbia mdahalo

    Naunga mkono Katibu Mkuu wa CCM kutokushiriki mdahalo huru, huu huenda ukawa mtazamo Wangu binafsi tu. 1. Nchimbi aliona sio vyema kubeba Aibu kama yeye binafsi 2. Huenda haamini Sana kwenye uongo (msisitize "huenda") 3. DHAMBI ya Uongo ni Mbaya na karma yake haiwezi kukuacha huru KAMWE 4...
  19. USSR

    Dhaka inawaka moto wafuasi wa waziri mkuu aliyejiuzulu na kukimbia nchi wameibuka kumtaka arudi

    Makundi hasimu mawili yakichagizwa na ukabila yanapambana mitaani lile linalomuunga mkono Shekhe Hazina na lile linalompinga yanapambana katikati ya jiji lenye watu wengi sana kieneo la Dhaka. Wahindu na waislam wanapambana kila mmoja akijiona kundi lake ndio linafaa kutawala . Hili ni somo...
  20. Roving Journalist

    Dodoma: Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yafunguliwa kwa mazoezi ya kukimbia

    Wadau wa Tasnia ya Habari wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri wameshiriki kukimbia katika mbio ‘Media Fun Run’ mwendo wa Kilometa 10 kwa lengo la kuweka mwili safi. Mabio hizo ni ufunguzi wa Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom...
Back
Top Bottom