Naomba mchanganuo wa gharama za kupata mashine ya kukoboa na kusaga fully Kwa DSM kwa mahitaji ya kijijini hasa iwekwe mkoa wa Tanga,karibuni wadau wazoefu kwa ushauri mnipe mwanga wa upatikanaji wa vifaa, gharama zake nk
Habari wadau,. Kama mada inavyojieleza, nahitaji kupata uelewa wa biashara ya kukoboa na Kusaga mahindi. Ninapenda kuwa na mashine kwaajili hiyo Ili niweze kudunduliza kipato (mashine ya kutumia umeme).
Ni usagaji wa rejareja tu mtaani. Nahitaji kufahamu bei za mashine mpya na used. Gharama...
Habarini Wakuu.
Mashine ziko Chanika mwisho. Bei ni 13 Million maelewano yapo kidogo, zinatoka zote kwa pamoja. Unapewa Mizani pamoja na mashine ya kufungia mifuko. Naomba kama kuna mdau anahitaji. Anicheki kwenye namba hii 0713888700 au +255620249437
KUSAGA HP 40
KUKOBOA HP 30
Habarini wakuu,
Katika kujitafuta nimefanikiwa kununua mashine ya kusaga na kukoboa mahindi.Nilikua naomba kama kuna mtu ana eneo sehem yenye mzunguko wa watu wengi au kama kulikua na mashine halaf ikatolewa anijuze ili niweze kuweka hii ya kwangu.
Napendelea maeneo ya Morogoro road kuanzia...
Unahitaji mashine ya kusaga na kukoboa nikukaribishe utazipata kwetu
Pia utapewa ushauri mashine ipi itakufaa kutokana na mazingira yako
Tunapatikana tabata
Namba zetu 0717209569
Samahani wanajanvi. Naomba ufafanuzi nataka kuanzisha biashara ya kusaga na kukoboa mahindi. Hii biashara imesimamaje?
Gharama za kuanzisha mashine zikoje?
Kuna faida au hasara?
Wadau,
Ninataka kufungua biashara ya kusaga na kukoboa bagamoyo vijijini. Hapo kijijini kuna mashine moja tu na naona hii ni fursa. Naomba ushauri wapi naweza kununua mashine zenye ubora na pia kama biashara hii inafanida.
Shukurani.
Wakuu habari,
Ningependa kuomba ushauri na mawazo ya kibunifu kutoka kwenu nifanyeje ili niweze kuongeza uzalishaji kwenye mashine ya kusaga na kukoboa?
Mashine hii mwanzoni ilikuwa ikiingiza walau chochote kitu lakini location iliyopo zimeongezeka mashine zingine mbili hivyo hali imekuwa...
MASHINE NDOGO YA KUSAGA NA KUKOBOA (2 in 1) mahindi, mpunga, viungo vikavu nk
Mashine MPYA
Bei 1,500,000/=
Mashine ipo DAR
●Mashine ina pande mbili, upande mmoja ni wa kusaga na upande wa pili ni wa kukoboa.
●Inaweza koboa mpunga, mahindi, n.k
●Inaweza saga mahindi, mchele, manjano, kahawa...
MASHINE YA KUPUKUCHUA MAHINDI
BEI: 450,000/=
Je, huna cha kufanya? Unatafuta kazi hupati? Sisi ni wasambazaji wa mashine tofauti kutoka china, mashine zipo kwa oda malipo ukikabidhiwa mzigo wako kwa wa dar, wamikoani kuna utaratibu wengine MNAKARIBISHWA!
KWA Mashine hii unaweza kutumia kwa...
bar
bidhaa
code
date
karanga
kukoboa
kusaga
kusaga na kukoboa
kutengeneza
logo
mahindi
mashine
mbili
mpunga
mpya
ndogo
number
print
printer
siagi
simu
ufuta
Kiwanda kipya cha kusaga na kukoboa nafaka kilichopo Mbezi Luis DSM kinakodishwa. Kiwanda hiki kina machine za kusaga, kukoboa, na kupeta mahindi. Pia kina machine ya kushona mifuko/viroba.
Kina uwezo wa kusaga Tani moja kwa kila lisaa. Pia kuna godown/stoo ya kuhifadhi nafaka tani zaidi ya...
Habari wana JF!
Mashine hii inauzwa na bado haijapata mteja bei yake ni Milioni 5 tu. Unapewa kila kitu ikiwemo; mzani wa kupima hadi kg 300, motor n.k. Haina tatizo lolote ni vile tu tajiri ameamua kubadili biashara. Ipo Dar Es Salaam, Gongo la Mboto-Majohe(Unaweza kuihamisha ukitaka). Mashine...
Kama inavyosomeka hapo juu,
Naomba yeyote anayeuza vinu vidogo vya kukoboa mpunga aje inbox, pia yeyote mwenye Mota 3 phase hp 20-Used tuwasiliane. Nataka kuanzisha biashara ya kukoboa mpunga vijijini.
Ahsante
Ndg wanaboard, naombeni ushauri wenu maana ninawazo la biashara.
Nipo Geita, mtaji nilio nao ni 25M, nimepata machine ya kukoboa 25t/h, ya Kisasa.
Ambayo wanauza 8700usd. Inakuwa na:
1. Elevators zake 2
2. Destoner
3. Cleaner.
Pia inaoption ya kupata brown rice.
Shida yangu ni ushauri, je...
Tunatengeneza mashine za kusaga pamoja na kukuboa mahindi,pia mashine za chakula Cha kuku,mixer za udongo pamoja na mashine za kufyatulia matofali,nk,karbuni sana wateja wetu tunapatikana mabibo mwisho,wasililiana nasi kwa namba zifuatazo 0754043910, 0764753158
Rais Magufuli amefungua kiwanda cha kukoboa mpunga Kihonda Morogoro.
Rais Magufuli amempongeza mwekezaji wa Kiwanda hicho na kumlaumu mbunge wa Morogoro mjini mh Abood kwa kupewa viwanda viwili na Serikali na yeye badala ya kuviendeleza akavitumia kukopea benki na kununua mabasi.
Rais Magufuli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.