Hello Wanajukwaa la Biashara na Uchumi.
Kampuni yetu inatoa huduma mbalimbali za usafirishaji wa mizigo, vifurushi, barua ndani na nje ya Tanzania.
pia tuna magari aina ya fuso tandam yenye uwezo wa kubeba hadi tani 17 na kusafirisha ndani ya Tanzania.
Pia tunaruhusu wale wa trip town, kwa...
Ofisi ya Nida ubungo wameanzisha biashara nyuma ya zoezi la ugawaji wa vitambulisho linaloendelea.
-
Wafanyakazi wa getini wamekuwa wakitoza elfu moja moja ya kanga kwa wanawake ambao wamekuja wakiwa wamevaa suruali za jeans au nguo ya kata mikono.
Unapofika tu getini kuuliza, kama umevaa...
Need a ride? We’ve got you covered!
From sleek sedans to rugged SUVs, Rhond's company limited offers top-quality rentals at unbeatable prices.
✨ Why choose us?
✅ Flexible rental options
✅ Affordable rates
✅ Well-maintained, reliable cars
✅ 24/7 customer support
Book now and drive...
Lissu alidai kuwa moja ya upigaji wa fedha za chama yalifanyika kwenye kivuli cha malipo ya kukodi chopa wakati wa kampeni ya uchaguzi mkuu, kwakuwa mwenyekiti ndiye alikuwa anadai malipo ya gharama basi hakukuwa na namna!!!.
Ukimsikiliza Lissu hapo ni kama vile hamwamini Mbowe na kuona ni...
Aliyewahi kupata hii message, tafadhali aniambie kama kuna ukweli ya kuwa ukikodisha kwa kutoa username na password ya account yako ya linked ambayo ina muda kuanzia nusu mwaka yani miezi 6, lakini pia lazima iwe na connection ya watu kuanzia 100 na kuendelea kisha kila baada ya wiki unalipwa...
Salaam Wadau.Kama Una Mashine ya kusaga Karanga kuwa rojorojo upo Dar, njoo tuzungumze biashara.
Tunaweza kukupa mzigo kisha tukapatana utupe finished product au kila kitu kwako Sisi tunachukua rojorojo.Mashine iweze Kuchakata angalau Kilo 200 kwa Siku.
Njia 10 za Kuongeza Kiasi cha Kodi ya Majengo ya Kukodisha
Majengo ya kukodisha ni mojawapo ya njia bora za kuingiza kipato cha muda mrefu na endelevu.
Hata hivyo, ili kuongeza kipato kutoka kwa mali yako, unahitaji kutumia mbinu mbalimbali za kuboresha thamani ya jengo lako na kufanya...
Mahakama Kuu yatoa kibali kwa LSK na KHRC kuwasilisha ombi la mapitio ya kisheria kuhusu uamuzi wa KAA wa kukodisha JKIA kwa Adani kwa miaka 30.
Mahakama pia imetoa amri za kuhifadhi ambazo zinakataza mtu yeyote kutekeleza au kufanya chochote kuhusu mapendekezo ya Adani kuhusu JKIA mpaka kesi...
Habari za leo wakuu,
Natafuta gari dogo, binafsi, isiwe zaidi ya cc1400, kukodisha kwa mizunguko ya Dar es salaam weekend hii.
Dereva ni mimi mwenyewe. mwenye nayo nicheck whatsapp 0688180839.
Habari za leo wakuu,
Natafuta gari dogo, binafsi, isiwe zaidi ya cc1400, kukodisha kwa mizunguko ya Dar es salaam wiki hii.
Dereva ni mimi mwenyewe. mwenye nayo nicheck whatsapp 0688180839.
Utangulizi
Uamuzi wa kukodisha au kuuza majengo ni muhimu kwa wawekezaji na wamiliki wa mali isiyohamishika. Kila chaguo lina faida na changamoto zake.
Makala hii itachunguza kwa kina mambo muhimu ya kuzingatia unapochagua kati ya kukodisha au kuuza majengo. Tutaangalia masuala ya kifedha...
Lissu anapita huku na huko kumkandia raisi Samia kuhusu uzanzibari wake,
lissu ni mtu asiye na shukurani wala kumbukumbu kuwa wakati amenyukwa zile njugu na kupata ugumu wa ndege kuruka na hicho chama chake hawapo busy kushughulikia suala lake upande wa pesa.
Alijitolea mbunge na kada wa ccm...
Habari za asubuhi huku tukiendelea na vita lazima maisha yaendelee Tuamke kuinua uchumi unaoanguka nahitaji kujua kama umewahi kukutana na hii biashara ya kukodisha mtambo wa kuchanganya zege Tena Kwa mikoani huku kweli nitakuwa nimefanya uwekezaji wenye matokeo nikinunua hio mashine?
MUHIMU: Mtuhumiwa hana hatia mpaka itakapodhibitika ana hatia, the accused is considered innocent until proven guilty
Mtindo huu wa mauaji umeanza kushika kasi Arusha, ni miezi michache iliyopita kulikuwa na tukio la mwanamke kukodi majambazi yamuue mme wake huko Arumeru.
hivi tena kuna...
Ataenzisha biashara ya Uber au Bolt Mbeya atapata pesa sana, pamoja na magari executive ya kukodisha.
Mimi kila nikiwa na kazi kule inagharimu ofisi yangu million 5 kusafirisha dereva na magari mabosi yaende kule ili kuwazungusha, sasa sisi wafanyakazi wengine tukifika tunabaki hohe hahe...
Israel imetangaza rasmi kuhitaji huduma ya wanajeshi mamluki kutoka sehemu mbali mbali duniani.
Tangazo lililotolewa na jeshi la Israel (IDF) imeelezea ofisi za usaili zipo kwenye ubalozi wa Israel jijini New York kwa wahitaji waliopo bara la Amerika ya Kusini na kaskazini huku wahitaji wa...
Katika kipindi hiki, mimi binafsi naendelea kujikita kikamilifu katika harakati zangu za kutafuta mabanda ambayo naweza kuyakodisha kwa lengo la kuanzisha shughuli za ufugaji wa nguruwe. Katika kutimiza lengo hili, nina tamanio kubwa la kupata mabanda ambayo yapo Dar es Salaam au katika maeneo...
Shamba linauzwa Tshs.350,000 kwa ekari moja. Ekari hiyo hiyo inakodishwa kwa Tshs.100,000 hadi Tshs.130,000 kwa kilimo cha alizeti, mtama au mahindi.
Hapa ni momba mkoani Songwe. Inawezekana kutengeneza kipato kizuri sana kwa kumiliki mashamba ya kukodisha ambayo yana tija kwa wakulima wa mazao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.