Biashara ya kukodisha Wachumba feki Nchini Vietnam imezidi kushamiri na kuendelea kukua siku hadi siku ambapo Vijana wamekuwa wakikodisha Wachumba hao na kwenda nao katika sherehe za familia ili kuziridhisha Familia zao zinazowapa presha na mfululizo wa yale maswali ya ‘Ndoa yako lini?’...