Wakuu salamaa,
Nina swali dogo hapa naomba msaada wenu, nimepatwa na hali inanipa mashaka kidogo!ninaenda sana haja ndogo wakati wa usiku ili hali nimekunywa glass moja tu ya maji na kulala!
Je, ni kawaida au ni kutakua na shida mahali katika mwili wangu?
Muwe na asubuhi njema.