Habar wakuu,
Ni takriban miez 2 tangu nifahamiane na huyu bi dada, Kuna stori behind iliyofanya tufahamiane nae japo kuielezea hapa nitawachosha wasomaji,
Kwa mwanzoni sikuwa namzingatia maana alikuwa anaweza akasafiri kutoka kwake hadi mitaa ya hom na kuomba tuonane na tukishaonana tunapga...