Wadau hamjamboni nyote?
Makabidhiano yamefanyika wizara ya ulinzi Israel. Gallant na Katz ni marafiki wakubwa. Aumizwa sana na hasara ambayo Israel imepata kupitia vita hii pamoja na kushindwa kuwakomboa mateka
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
==========
Israel Katz formally replaces...