Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema kuwa tayari Jeshi la Polisi limewakamata watu wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya mtoto mwenye ualbino Asimwe Novath (2).
Mei 30, 2024 Asimwe anadaiwa alichukuliwa na watu wasiojulikana nyumbani kwao Muleba mkoani Kagera na juhudi za...
Salaam, Shalom!!
Awamu ya Tatu, Ben Mkapa aliwateketeza wachuna ngozi bila huruma yoyote na huo UOVU ulikoma. Albino waliishi Kwa Amani kipindi Cha miaka iliyopita hivi karibuni, imeanza tena.
Kwa sasa ninishuhudia mpishano usio wa kawaida wa Waganga wapiga ramli kwenye ofisi za wanasiasa...