kukosa amani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    Wanadai kabla ya Israel kuangusha jengo huwa anatoa taarifa ni kweli?

    Tuache ushabiki binadamu tunagombania kitu gani. Sawa tulijua hamas waliua watu 1500 ila kisasi kimezidi sana ebu wazia uko mtaani kwenu nyumba ya jirani ghorofa inadondoka vumbi lake kubwa sana hatari Balaa.. Binadamu kweli unasapoti hili Balaa.. Wanadai kabla ya Israel kuangusha jengo huwa...
Back
Top Bottom