Habari wapendwa Nina mtoto wa mwezi mmoja lakini leo ni siku ya tatu hajapata choo na anakua anajamba na maranyingine ushuzi unatoa harufu hii ni kawaida au kunatatizo, kwa mwenye ujuzi na na doctor kama wapo humu naombeni ushauri, ananyonya vizuri nimara chache toka juzi akinyonya Kuna mda...
Nina maumivu ya Abdomen na sijapata choo tokea vyakula nilivyokula Alhamisi iliyopita.
Jana nimekunywa dawa za kuharisha vidonge vinne Kwa muda mmoja (inatakiwa Kunywa kidonge kimoja) lakini mpaka sasa nimeenda sijaharisha ni tumbo tu linanguruma kutishia kuharisha niikifika chooni naishia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.