Mbunge wa Mwanga, Joseph Tadayo amesema serikali haipaswi kulaumiwa kwa ukosefu wa haki kwenye vyombo vya sheria, bali lawama ziende kwa watendaji kwani sheria zipo wazi.
Akichangia hoja ya Kamati ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria pamoja na Kamati ya Sheria Ndogo, Tadayo amesisitiza kuwa...