Kuna familia na Koo zipo hakuna aliyemaliza form 4 wote elimu iliwashinda.
Kuna familia na Koo mmoja tu kafanikiwa kufika chuo na kumaliza ila kazi hana.
Kuna familia na Koo ndio unakuta masikini wa kukufuru, mabinti wote wamezalia nyumbani, hakuna aliyeolewa na vijana nao wote wameleta wake zao...